Nimechelewa kama dakika kadhaaaMbona aliweka sio mda hapa.
Style gani? Si unaziachia tu zijimwage km rasta au?Naona baadhi ya Style nashindwa kubana
Niliwaambia nawatafutia humu shemeji😹😹nibless tuUtaweka ngapi
Yaan nataka niwe serious sasa, niwe na dreads na mie.
Nasubiriii,Mida ya mchana mapema tu
Nimekuita mara mbili haupo? Upendeleo gani tena? 🙄
Ushakua mbabaishaj tena chat kwa pichaNiliwaambia nawatafutia humu shemeji😹😹nibless tu
Uwiiii💔Kesho tena
Polee nikipita tena nitakuitaHawaniitiiiii aiseee
Kesho nayo siku
Nimesikitika sana asee kukosa uhondo.Hawa wanakula vitu vizuri kimya kimya
Ndiyo poleeUwiiii💔
Nakuja dear inbox unioneshe hizo dreads, mnanishawishi ujue, aloooh.Rasta/dreadlocks zinapendezea sana ukiwa mtu una asili ya nywele nyingi.
Maana zinajaa vizuri kama Amazon.
Cheki zangu inbox
🥳Huna baya tajiri❤️
Msijariii, leo niko hapa.
Pita na wewe mbunifu🥳Huna baya tajiri❤️
Mkuu umenizunguka mbona hujaniita nimuone Malaika Chica GeeHaya sawa.
Upite kama nipoPolee nikipita tena nitakuita
Nimesikitika sana asee kukosa uhondo.