Nakukaribisha sana, weka nia anza zangu ndefu hadi nataka kuzipunguzaYaan nataka niwe serious sasa, niwe na dreads na mie.
Sijaona bhana πππNakukaribisha sana, weka nia anza zangu ndefu hadi nataka kuzipunguza
Nimepita muda ule uleSijaona naonq jamiiforums ilikuwa down
Mlongo, mbona uko π₯π₯π₯ sanaa.
Mtandao ulipotea ππ»ββοΈNimepita muda ule ule
Niko serious na shughuli za Chama πππMlongo, mbona uko π₯π₯π₯ sanaa.
Sipati picha mademu wanavyo kusarandia, Alooooh. Nouma sanaa
Huna bahati na mimiπ nishapita naked kabisaSijaona bhana πππ
Naona kwangu jamiiforums ilikuwa down
Sawa πHuna bahati na mimiπ nishapita naked kabisa
Usipunguze mbona ziko vizuri sana. ππNakukaribisha sana, weka nia anza zangu ndefu hadi nataka kuzipunguza
Huko chamani hakuna mademu acha uongo wako hapa, ukute unadate na Bre, ππππNiko serious na shughuli za Chama πππ
Ulishawahi kunisema zamani sijui kuvaa viatu π π πMlongo, mbona uko π₯π₯π₯ sanaa.
Sipati picha mademu wanavyo kusarandia, Alooooh. Nouma sanaa
Wallahi nilitakaga kutest mitambo kubabakeeee π€£π€£π€£Huko chamani hakuna mademu acha uongo wako hapa, ukute unadate na Bre, ππππ
Mlongo, em toa ndula zako hapa, πππ
Hawa wanakula vitu vizuri kimya kimya
Naona baadhi ya Style nashindwa kubanaUsipunguze mbona ziko vizuri sana. ππ
Weka yako hapa tufaidikeNimekubamba mrembooo, πππ
Dreads zako ziko π₯π₯π₯, unanitamanisha mnoo.
Airmax ninayo kesho nitavaa na kushow up, hii nayo mbaya ? π π π πMlongo, em toa ndula zako hapa, πππ
Sitaki kuziona, weka airmax, Air4c, Jordan, boots
Taste acha uoga na wewe, ukute na yeye anasubiri uguse, aachie muende honeymoon.Wallahi nilitakaga kutest mitambo kubabakeeee π€£π€£π€£