Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 2,936
- 2,574
Boss ni Mungu tu Mkuu πBosi kubwa Manyanza. π
πΉπΉπΉ Ntakuchapa..!!πΉπΉπΉπΉsawaaa
Nabaki na hio y pua nzuri kama mshumaa wa pasakaπ€£π€£π€£π€£
Nilitoka one time, rudiaOver
Kwa pesa zako lakini πΉFinishing utafanya lamama
πΉπΉπ€£πΉπΉπΉ Ntakuchapa..!!
Boss ni Mungu tu Mkuu π
Kesho Mwabukusi anahitajika kwa Mwafwele umeuona uzi ?
Sijauona, nitafuatilia.
Kuelekea kule tulipoahidiana!Kuelekea wapi?
Ndio Narudi nyumbani. Mpenzi nimetoka kutafuta nije nikutunze wangu.The Ghost Writer huyo ndio vitu vyangu.
Muambie aweke picha umuone hapo.
Ni π₯π₯π₯
Salama mkwe. Vipi huko wazima ?
Nimefika.πΉπΉπΉπΉ Eti ungemsarandia khaaaaa..!!
Sasa hivi umezeeka nini?
Em The ghost writer njoo hapa
ππππ kwa kweli.Usikubali kula makombo πΉ
Halafu unda group uniweke tumchambe afu akijibu tunamleftisha..!!
Dear, em weka picha wakuone, isionekane naongea uongoNimefika.
Doooh πDear, em weka picha wakuone, isionekane naongea uongo
Dear, em weka full wakuonee, nataka uwathibitishie hapa. ππNdio Narudi nyumbani. Mpenzi nimetoka kutafuta nije nikutunze wangu.
View attachment 3690778
Mlongo em tulia, umuone shemeji ako hapa.Doooh π
NaamKwa pesa zako lakini πΉ
Oh. Wife tulale. Penzi langu ni Mimi na wewe tu. Tukiwepo chumbani wawili tu inatosha. Sio lazima Kila mtu atujue.Dear, em weka full wakuonee, nataka uwathibitishie hapa. ππ