Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndo tuseme unaishi buza kweli/then what. Inamsaidia nini mtaka taarifa na mtoaji taarifa.
Niligundua wote machizi wanafarijiana ujinga..!!

Na kwa maelezo ya wog aliyemfata ni demu na nikajua tayari kashapitiwa na huyo mtu kwa kutaka umbea wa Lamomy….!!

Mi nipo bonyokwa mbona kila siku nawaambia, em wakuje kwanza huku kunisalimia..!! 😹
 
Hahaha
Inaonekana unasakwa sana uingizwe kwenye radar za watu wakusambaratishe kama demiss, shughuli yako iishie hapo.
 
Kwa Ile English figure, nategemea atakayekuja kukuposa, ajiandae kuniletea Koti la babu kutoka Italy 🀭

Na kwenye ng'ombe hapo waandae fuso 2 kama za Aziz Ki na Mobetto πŸ€—
Kuna yule mwehu wa humu humtaki alete ng’ombe? πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…