Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 41,158
- 99,067
Wewe kama wadada wamegoma kuinteract na wewe achana nao..!!Hahaha sijaposti kwa lengo la mtu ,wala sina shida na yeyote humu labda ni wewe tu umeelewa vibya , kama mods hawafuti nitaposti ninachoona ni sawa tu
Sasa jiulize toka umeandika minyuzi yako na kuwaponda umepona ugonjwa wako?
Nyie ndo wale mkipewa nafasi huko piemuni mnaomba picha ili mwisho wa siku mzisambaze wadhalilike..!!