Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baba starz ni ostaadhi hatoi wala hapokei rushwa
Screenshot_20260425-211738~2.jpg
 
Ngoja nichochee ugomvi , hayo ndiyo mambo ninayoyapendaga 😂 😂

Labda wadada wa humu mliwahi kumkataa mwamba ndio maaana anatema moto mkali .

Nakumbuka enzi za shule tupo ghetto na machizi tulikuwa tunajadili Pisi Kali za shule na kuzithaminisha akatajwa demu mmoja Pele machizi wote kama 8 tulimsifia ni Pisi ila jamaa mmoja peke yake akawa anaabisha na kumkandia kinyama kuwa ni demu mbovu wakati huyo demu alikuwa Pisi 🔥 🔥

Kila tukipiga stori za Pisi mwamba anamkamdia huyo demu mpk tukawa tunashangaa tukawa tunahisi labda mwamba ana chuki zake binafsi au alimtongoza akapigwa kisu kikali , tukimwambia mwamba Madai hayo alikuwa anaakataa anasema demu ni mbovu tu wakati akipite barabarani kila sehemu watu weweeeeeeeh kafungasha haswa si yuko portable na rangi sio poa !!😂😂

Mwisho wa siku tukagundua kwa taarifa za uhakika jamaa kumbe aliwahi kumtongoza akakataliwa vibaya mno ndio maana anachuki za kinyama kwa yule demu . Baada ya kugundua tulicheka sana tukawa kila tukimuona jamaa tunamcheka 😆
Huo ndo ugonjwa wa min sasa 😹😹😹

Kila akianzisha uzi anaponda wadada wa selfika. Mpaka tunajiuliza min kuna mdada kamkataa humu?

Mwanaume rijali hawezi kuponda wanawake hata siku moja..!!
 
Sema nini….. Mi akili za wanaume baadhi huwa zinanichekesha sana.

Yall normalize bullying men, mtu akikujia lala nae kiulalo ulalo, Iweje mtu akubully umwache atambe? Wadada mnaowanyamazia wanaume ambao mna bifu nao mnawapa nguvu.

Mkiwa mnachat nao piemu wenzenu wanakusanya mafaili ninyi mna play safe, please play dirt kusanya risiti na wewe akikumwaga unamwaga na yeye akalilie kwao.

😂😂😂😂
 
Huo ndo ugonjwa wa min sasa 😹😹😹

Kila akianzisha uzi anaponda wadada wa selfika. Mpaka tunajiuliza min kuna mdada kamkataa humu?

Mwanaume rijali hawezi kuponda wanawake hata siku moja..!!
Hahaha sijaponda na nyuzi naziweka chitchat , na wapo wadada mpaka ndugu zangu humu , hivyo ni hisia zako tu.
 
Mimi nakupasha kama wakili wao..!!

Acha kushindana na watu wanaoingia period kila mwezi, au wewe ni anko T unataka kuchambana humu??
Mimi nimekoma kushindana na Wanawake humu nakumbuka Kuna siku nilijichanganya wewe Dada ulinichamba vibaya mno na kunitukana .

Kwa hasira nikakuanziashia Uzi wa MaLove kuwa nakupenda na nikaweka challenge kuwa hakuna mrembo Jf zaidi yako kama yupo aje , ukaja kwenye huo Uzi tena kunichamba na kunitukana mpaka nikawa nacheka mwenyewe nikaamua nikuache tu 😂 😆 😂
 
Sema nini….. Mi akili za wanaume baadhi huwa zinanichekesha sana.

Yall normalize bullying men, mtu akikujia lala nae kiulalo ulalo, Iweje mtu akubully umwache atambe? Wadada mnaowanyamazia wanaume ambao mna bifu nao mnawapa nguvu.

Mkiwa mnachat nao piemu wenzenu wanakusanya mafaili ninyi mna play safe, please play dirt kusanya risiti na wewe akikumwaga unamwaga na yeye akalilie kwao.

😂😂😂😂
Aki mmeanza kulewa mapema sana vijana.
 
Binti kiziwi mtu akijichanganya akuseme vibaya wewe kaisha , naita kikozi changu kazi cha WaMongolia kazi inaisha nikigawa vipisi vya bange humu kunawaka moto .

WaMongolia hatuingiliagi ugomvi ila hapo watatuchokoza sasa 😂 😆
 
Sishindani na watu , wala sina shida na mtu, ni mada tu kama mada zingine ndio maana mods wanaziacha labda zinagusa tu ila sina nia ya kumtageti mtu😆
Sasa kama hushindani na ni thread tu kwann uwamention wadada wa selfika ambako unalala na kuamkia huku?

Acha kushindana na wadada kwanza inafanya hata ulio nao karibu wakuogope wajione na wao hawako safe..!!
 
Binti kiziwi mtu akijichanganya akuseme vibaya wewe kaisha , naita kikozi changu kazi cha WaMongolia kazi inaisha nikigawa vipisi vya bange humu kunawaka moto .

WaMongolia hatuingiliagi ugomvi ila hapo watatuchokoza sasa 😂 😆
Wewe bwana 😂😂😂😂 Gayo the boy!
 
Sasa kama hushindani na ni thread tu kwann uwamention wadada wa selfika ambako unalala na kuamkia huku?

Acha kushindana na wadada kwanza inafanya hata ulio nao karibu wakuogope wajione na wao hawako safe..!!
Hahaha , sioni tatizo, mods wangeona shida wangeufutilia mbali na wangenipiga ban , kama wameacha wameona hauna shida kabisa unafaa kwa matumizi
 
Binafsi natamani uwepo ugomvi wa wadada na wakaka niingilie shida ni mafumbo tu hatujui nani ana ugomvi na nani .

Lamomy mwenyewe kanichambia min me ila lamomy hana shida nae kaona tu amsuuze.
Suala la kusoma comments mniachie nyie vuruganeni tu, kikubwa muwe na bima ili akizidiwa mtu tusipate shida kumtibu.
 
Back
Top Bottom