win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,973
- 37,385
eeh wew umechelewa mnoo mpka tushaosha vyombo 😅Na mimi sikuwepo😏
eeh wew umechelewa mnoo mpka tushaosha vyombo 😅Na mimi sikuwepo😏
lazima tukusupport ila ndo ujitahidi kutupia pic ukiwa umepigilia kazi ya mikono yako☺️😂😂labda kama mtanipromote na hii biashara yanguView attachment 3681031
Ngoja nimalizie juu mpaka chini nije na pamba kamili ya kutangaza biashara kwa warembo🤩🔥lazima tukusupport ila ndo ujitahidi kutupia pic ukiwa umepigilia kazi ya mikono yako☺️
hapo utakua umeuaaa,, yeah warembo wapo wengi na wenye pesa lazima wakuungishe, mi pia nitatia mkono wangu ila nitaomb discount 🤭Ngoja nimalizie juu mpaka chini nije na pamba kamili ya kutangaza biashara kwa warembo🤩🔥
Nishaona humu warembo wana pesa safiiiiiii🥳🥳🥳🥳🥳🥳
😀😂😂labda kama mtanipromote na hii biashara yanguView attachment 3681031
Tajiri unaomba discount kabla yaa kuuliza bei😹😹🩷 nauza bei sawa na bureeeehapo utakua umeuaaa,, yeah warembo wapo wengi na wenye pesa lazima wakuungishe, mi pia nitatia mkono wangu ila nitaomb discount 🤭
😹😹Fanya mambo shemeji adamshi🔥🔥🥳🥳🥳🥳🥳
Hahaha,Fanya mambo shemeji adamshi🔥🔥🥳🥳🥳🥳🥳
Unatka kukwepa useme upo single kijana😹😹naijua hioHahaha,
Unatka kukwepa useme upo single kijana😹😹naijua hio
Fanya mambooo hapa🔥🔥😹
Aya basi chukulia unaemfukuzia humu 🤩🔥🤣🤣🤣🤣
Hahaha,Aya basi chukulia unaemfukuzia humu 🤩🔥🤣🤣🤣🤣
Izi biashara izi balaaaa kumshawishi mteja inahitaji moyo😂😂😂😂
aunty yako ndo anaomba discount😎😅Tajiri unaomba discount kabla yaa kuuliza bei😹😹🩷 nauza bei sawa na bureeee😹😹
😹😹atanikata mtaji kweupeeeee🩷🤩🔥aunty yako ndo anaomba discount😎😅
hapa sijui atasingizia nini, hebu aje akuungishe
😅😅 mtaji hauwezi kuisha bwana, basi mi nitamleta nikuachie akiwa na nguo moja alf nimuijie baada ya siku 3 tuone kama utakua hauja mshonea bure🤣🤣😹😹atanikata mtaji kweupeeeee🩷🤩🔥
Ntamshonea blanketi iwe mwendo wa kumfunika tu🥳🥳🥳🥳😆😅😅 mtaji hauwezi kuisha bwana, basi mi nitamleta nikuachie akiwa na nguo moja alf nimuijie baada ya siku 3 tuone kama utakua hauja mshonea bure🤣🤣