MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,542
- 13,834
Tuone macho hayoLeo niko vyombo.. ULIZWA SWALI UJIBIWE NA LAMO
Huu uzi lazima ufutwe πMbaga una shida gani na uzi wetu, Tatizo uzi au tatizo watu?
Sitaki kuonaAcha tuone πΉπΉ
Huu uzi haufutwi nakwambia..!!
Wee subiri wenye Mjep wao wakushukie km mwewe.Kwa raha zako mama Mjep πΉπΉ
Njombe eeh?kijijini kwetu huku sanga mwalugeshi,, Jana kulikuwa na shereehe ya ufunguzi wa nyumba pakachinjwa ngombe tukaalika na msanii kisima.
Sasa ndio tupo hapa tunamalizia mabaki.
Uduguu, umeamua nawee uweke kibumbu hapa jamvini. Hujataka kuweka piemuni iwe deal, unamwaga hapa hapa hutaki masjala wala nini?mshamba_hachekwi haya piga nyeto kijana πΉπΉπΉπ₯π₯
πππSelfika inafanya watu wawe na shauku ya kuonana kupitia hizi picha za kuibia ibia.
Wanapoamua kuzifanyia kazi hizo shauku ni juu yao. Mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuona hatari zilizopo.
Wanapoamua kuuziana via vya uzazi ni juu yao vile vile.
Moderators watashughulikia lugha mbaya tu. Mimi labda ningeshauri waifanye selfika iwe "members only thread".
πΉπΉπΉ Wasije kusema oohh alinitumia pm..!!Uduguu, umeamua nawee uweke kibumbu hapa jamvini. Hujataka kuweka piemuni iwe deal, unamwaga hapa hapa hutaki masjala wala nini?
ππππ
Kwani mjep ana mke tofauti na wewe? πΉWee subiri wenye Mjep wao wakushukie km mwewe.
ππππ
πΉπΉπΉSitaki kuona
Huu uzi lazima ufutwe π
Achana naye uzi haufutwi wataacha ndala wao..!! πΉMbaga una shida gani na uzi wetu, Tatizo uzi au tatizo watu?
Yeaahhh..!! π₯Oyaaaa weeeeeee π₯°π₯°π₯°
Kinga OG!
Ndo naamka aiseee..!! πΉTuone macho hayo