Kuweni na huruma na Wazee 🤭Wewe ndio walewale mnaleta l hekaheka humu hebu utulie😄
Aseeeeeeehh!!Ujinga uendelee tu maana kuna wakati unatusaidia kupunguza wenge
Summons ushawafikishia? 😹
😂😂😂Summons ushawafikishia? 😹
Waje wenyewe kabla sijatuma afande fake p kuja kuwakamata 😹😹
😹😹😹 humu ndani vituko haviishii..!!
Kanipiga nachumpa ziwaniHivi hizi picha unapigaje🤔
Hebu tupunguze silesi tajiri wa migebuka😎Kanipiga nachumpa ziwani
Selfika ni ya kiwaki kwa sasa, ndio maana siwagi active humu, hadi kuwe na jambo ndio naingia.😹😹😹 humu ndani vituko haviishii..!!
Tupotee kwenye huu uzi uduguu kama kipindi kile…!! Tuache watu na biashara zao.
😂😂😂 km hadi unauliza ndio nani, basi huwezi mjua hata ukielekezwa.Nisaidieni umbea na nyie mbona wachoyo? Babu miga ndio nani? 😂😂😂🤦🏻♀️🤦🏻♀️
Nimemaliza now kusoma comments .
Una kifua kizuri cha kutunzia siriHebu tupunguze silesi tajiri wa migebuka😎
Siri za kipumbavu labda😁Una kifua kizuri cha kutunzia siri
Nimelia sana mdogo wangu 😂😂😂😂😂😂 km hadi unauliza ndio nani, basi huwezi mjua hata ukielekezwa.
Fanya usimjue tu.
Uzi wa picha watu wanashikana mashati subiri nipite twende ziwaniSiri za kipumbavu labda😁
Hahah mtajuana wenyewe wacha mi nimalizie kilaji😜Uzi wa picha watu wanashikana mashati subiri nipite twende ziwani
Bonge la spider🤩
La ziwaniBonge la spider🤩
Hilohilo😃La ziwani