Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna nini kwani humu ndani?
Bana kama kawaida roho chafu zinaumia watu kupost pesa zao na ndinga humu..!! 😹😹

Wanataka wote wapauke kama yeye..!!

Famchezo wewe kila unachopost kinachekesha lazima upagawe..!!

Na wewe uwe unasifia ukiomba pic, 😹😹
Watu wanajitutumua kukupa selfie afu unachuna. Ndo kumaanisha nini sasa??

Kwamba pisi mbovu au? 😹😹😹
 
😹😹😹 Uzi wa picha huu hata mbwa akikatiza mbele yako wewe mpost tu..!!

Mwenye wivu akanye boga
 
nani asiekujua wewe tajiri wa wakinga πŸ˜‚πŸ˜‚

Nje ya mada, humu JF kuna vituko sana ukiwa mgeni utatamani ufute ID upotee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸ½β€
Mi msukuma sinunajua tulivyo washamba weusi tii!😎

Hahaha mimi sikujua kwakweli, kidogo niache ndala 😁ila nimeanza kuvizoea
 
Tajiriii achana na vinuka mkojo changamoto zimewajaa hawajui washike lipi waache lipi..!!

Em tupia maburungutu wapasuke vizurii 😹😹😹

Ayiiiiiiii jamani hukuuu..!!
 
Nyie sasa hivi ingieni ulingoni piganeni msindi apatikane tu.
Maana hali ni mbaaaayaaa! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi msukuma sinunajua tulivyo washamba weusi tii!😎

Hahaha mimi sikujua kwakweli, ila nimeanza kuvizoea
Kuna washkaji wengi sana humu siwaoni kabisa kumbe sababu ni iziizi za kikuma akina mwalimu Antonnia To yeye Kalpana na wengine kibao, Tayana nae ndo ivo kaaga aisee.

Watu roho zao za husda na usengenyaji wanahamishia mpaka mtandaoni. Pathetic.!!
 
Igweeeeeeeeeeee

Hizo 🫑
Hizo 🫑
Hizo 🫑

Mi napenda watu wanavyopost pesa wananimotivate niendelee kukomaa..!!

Kwanza mwenye akili alitakiwa aombe michongo sio kuleta shombo hapa..!!

Sema bichwa halina akili hawezi kuelewa hii..!!

Matajiri tupieni madollar uzi uchafuke na pesa tupu sio minyuchi michafu chafu 😹😹😹
 
View attachment 3678127
Nmeacha kupost hela sasa maana zimeisha na ndicho mlikua mnataka

Lamomy karibu maskani kwetu huku mabonde kuinama
Ewaaaahhh namna hiyo..!!

Nyumba safi decoration ya kimataifa..

Tajiri umeshindikana, pesa unazo na mansion unalo..!! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Nipe mchongo na mimi nipate mjengo kama huo..!!
 
Ni babu miga na Mzab Zab walimla mande hapo Morena sijui ni binti gani yule, nimesahau ID, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbe wee humu uko kitamboo? Au ni Wige wewe? Lol
 
Ewaaaahhh namna hiyo..!!

Nyumba safi decoration ya kimataifa..

Tajiri umeshindikana, pesa unazo na mansion unalo..!! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Nipe mchongo na mimi nipate mjengo kama huo..!!
Nyumba za mapedeshee izi apa nipo kwa shemeji hela ya ujenzi natoa wapi mimi tajiri yangu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyie sasa hivi ingieni ulingoni piganeni msindi apatikane tu.
Maana hali ni mbaaaayaaa! πŸ˜‚πŸ˜‚
Napigana na nani? 😹

Uduguu seriously nipigane na wavuta bhangi mimi?

Mi napigana na pesa tu..!!

Kama ana pesa nimpe lipa no aweke kwanza ndo tupigane..!! 😹😹

Vita na machizi mara ya mwisho nilipigana na vin sitarajii wengine wenye vyeti vya madawa ya kulevya..!! Labda tuwalipie nauli waende sober
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna washkaji wengi sana humu siwaoni kabisa kumbe sababu ni iziizi za kikuma akina mwalimu Antonnia To yeye Kalpana na wengine kibao, Tayana nae ndo ivo kaaga aisee.

Watu roho zao za husda na usengenyaji wanahamishia mpaka mtandaoni. Pathetic.!!
Tayana kaaga na yake wala sio mambo ya humu..!!

Mimi katibu wake najua hivyo sipendi kuona mnamuongolea na kumfanya topic..!! 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…