Ya kwangu iligoma kabisaMkuu
Kama Benz yako inaishi uko yangu isifike kwann we tag location πHuku tunakaa watoto wa mbwa matajiri hamuwezi kupajua..!! πΉ
Ukija na hiyo BMW yako jiandae na service, kuna makorongo na mishimo ya kufa mtu..!
Iligoma kivip mkuu πYa kwangu iligoma kabisa
Location yenyewe inagoma, Kuna vibaka huku wanakaba na hiyo BMW yako utaikuta wamechomoa taa na tairi zimefunguliwa..!! πΉπΉKama Benz yako inaishi uko yangu isifike kwann we tag location π
Watu wa Dar wote bibi yenu ni mmoja hamtaki appointments kabisa na sisi washamba wa kuja πππ½ββοΈππ½βLocation yenyewe inagoma, Kuna vibaka huku wanakaba na hiyo BMW yako utaikuta wamechomoa taa na tairi zimefunguliwa..!! πΉπΉ
πΉπΉ Hatutaki mkabwe muanze kutupa lawama..!!Watu wa Dar wote bibi yenu ni mmoja hamtaki appointments kabisa na sisi washamba wa kuja πππ½ββοΈππ½β
Tuseme nilishindwa afu hio trend imenipita chapIligoma kivip mkuu π
Haikuleta ulichotaka au hata kutengeneza ilishindwa?
Kariakoo nishaapa sikanyagi mwaka wa 3 huu sijui kukoje. Sipendi makelele na purukushaniπΉπΉ Hatutaki mkabwe muanze kutupa lawama..!!
Nwei njoo kkoo utanikuta napigwa na jua nimepauka..!! Usinikimbie tu..!! πΉπΉ
Ooh pole na nilikua offline kdg sikufuatilia umefikia wapTuseme nilishindwa afu hio trend imenipita chap
Kwa mtindo huu mkuu utakula sana mbususu za hapa Selfika na JF kwa ujumla.. Huko PM kwako I am sure ni patashika nguo kuchanika. I like your style! πππView attachment 3676892
Ivi vibunda vya urithi nilvotoka navyo jana Zenji nataka viishie Dar. Nitumieni location Lamomy Seran Chica Gee Missy Gf binti kiziwi
Umechelewa kunijua mkuu sio mambo yangu ayo na pm yangu nilifunga karibia mwaka wa 3 sasa. Donβt take it too serious, chit chat zisikuchanganyeKwa mtindo huu mkuu utakula sana mbususu za hapa Selfika na JF kwa ujumla.. Huko PM kwako I am sure ni patashika nguo kuchanika. I like your style! πππ
πΉπΉπΉ Si mmeona matajiri msivyopenda kelele..!!Kariakoo nishaapa sikanyagi mwaka wa 3 huu sijui kukoje. Sipendi makelele na purukushani
Kuna jamaa alikuwa na pigo kama zako. Kila siku kuposti mabulungutu ya pesa na ndinga kali kama Audi, BMWs. Tajiri wa Madini na uwanja wake wa vita ulikuwa Morena Hotel Msamvu Morogoro. Alileta madhara makubwa sana hapa Selfika; na kwingineko. Actually nilifikiri labda ni yeye karudi na fyekero πUmechelewa kunijua mkuu sio mambo yangu ayo na pm yangu nilifunga karibia mwaka wa 3 sasa. Donβt take it too serious, chit chat zisikuchanganye
Dah.!! πΉπΉKwa mtindo huu mkuu utakula sana mbususu za hapa Selfika na JF kwa ujumla.. Huko PM kwako I am sure ni patashika nguo kuchanika. I like your style! πππ
Usitunyime ubuyu huo!Umechelewa kunijua mkuu sio mambo yangu ayo na pm yangu nilifunga karibia mwaka wa 3 sasa. Donβt take it too serious, chit chat zisikuchanganye
Huyo sikumuona mkuu, naeza kukaa miaka sijaingia humu nakua nipo chimbo kutafuta pesa nikizipata nakuja kupoa kidogo kama ivi then napotea ila sipo humu kwa lengo la kutega watu ambao hata siwajui wkt mtaani madem shazi πKuna jamaa alikuwa na pigo kama zako. Kila siku kuposti mabulungutu ya pesa na ndinga kali kama Audi, BMWs. Tajiri wa Madini na uwanja wake wa vita ulikuwa Morena Hotel Msamvu Morogoro. Alileta madhara makubwa sana hapa Selfika; na kwingineko. Actually nilifikiri labda ni yeye karudi na fyekero π
Don't take it too serious too. After all, it is just chit chat! πΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈ
Mimi sina hata mia mbovu nitampata nani? This world ain't fair sis! πVipi wewe uliwahi kuwapata kwa style hiyo?
Bora umenisaidia kuuliza, kama hana vibunda anambie niwe namtumia picha anakuja kupost humuDah.!! πΉπΉ
Kwamba kuna msululu pm kwa picha za pesa??
Basi hao wapanga foleni ni wauzaji mashuhuri aisee..!! πΉ
Vipi wewe uliwahi kuwapata kwa style hiyo?