Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,892
- 44,265
NoMtajee huyo anaekula hana kelele, tumpe maua yakee, alooooh
πππ
Ndoa inakunyemelea rafiki yangu.mshamba_hachekwi Njoo tupike leo nimeingia jikoni πΉ
Nilivyoanza kupika nimekumbuka ulisema unataka kuona pishi langu..
Anyway tunaheshimu uamuzi wako MUNGU akutunze, nitakumiss sana DadaUsisikitike hakuna shida yyt
Basi tu nimeamua kupumzika
Coca anaangalia pesa πΉπΉNtampasua coca
Ungeniona nilivyochoka, hapa nimeshapiga simu dada arudi atakuta nimeungua mwili mzima..!! πΉπΉNdoa inakunyemelea rafiki yangu.
Pishi la valentine kabisa hili.
STOP βDuh
Umepambana mpk nimekuja ππ
Notification nyingi sijui nij8bu ipi niache ipi...
Anyway
Nimekuja kuwaaga hata hivyo....
Kuondoka kimyakimya sio poa
Nawapenda sana
Ngoja tuangalie maisha mengine ss
Umechoka na vyombo vinakusubiri uvioshe?Ungeniona nilivyochoka, hapa nimeshapiga simu dada arudi atakuta nimeungua mwili mzima..!! πΉπΉ
Acha bhasiii π₯πΉπΉπΉUmechoka na vyombo vinakusubiri uvioshe?
Unaenda wapi tena ma mchunga? Baki na sisi!! π’π’No
I respect him so much!
I cant do that!
Ila anaekula hana kelele wasiokula ndo wana kelele
Im out jmn
Nilikuwepo humu mbaki salama
Wee bhana wog usisahau kunipa id yako mpya kabla hujaitelekeza hii..!! πΉπΉπΉWenye no yangu tutawasiliana huko nje
Nawapenda jmn
π«Άπ€
Mwenzako Ba tamu ananichambaga kupika siwezi.πΉπΉπΉ
Nipo hoi nimemaliza kupika, aisee kama kupika ndo kuwa wife material basi mi mniite msimbe tu..!!
πππ udugu nimecheka km mwehu hapa, ujue wee ni mwendawazimu?Wee bhana wog usisahau kunipa id yako mpya kabla hujaitelekeza hii..!! πΉπΉπΉ
Brand inaondoka uduguu π₯Unaenda wapi tena ma mchunga? Baki na sisi!! π’π’
Kwani Ma mchunga kapatwa na nini hadi aage mapema hivi?Brand inaondoka uduguu π₯
Mi nishazoea kuona fashion za mamaah wog.. sa itakuwaje?
Wewe kama mimi dada ako hatuchekani..!! πΉπΉπΉMwenzako Ba tamu ananichambaga kupika siwezi.
πππ
πππ kwa kweli.Wewe kama mimi dada ako hatuchekani..!! πΉπΉπΉ
Watajijua watuachee
πΉπΉπΉ Signal kupeana muhimu tusije kumchamba kumbe mama mchunga wetu wog..!!πππ udugu nimecheka km mwehu hapa, ujue wee ni mwendawazimu?
Sijui labda shem kamkataza kutumia JF πΉπΉKwani Ma mchunga kapatwa na nini hadi aage mapema hivi?
Duuh.