MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,510
- 13,722
Acha zako bhana. Wewe ndo wale βsina pesa kajenga ghorofaβ πUlituwekea vibunda vile aiseee sio poa πΉπΉ
Wenzio tunaenda kula kwa mama muuza wali wa buku jero, mwenetu uko Amell unapigwa kiyoyozi na lunch ya laki na nusu..!!
Location hazisomi tupo kuuza vijora πΉπΉView attachment 3676892
Ivi vibunda vya urithi nilvotoka navyo jana Zenji nataka viishie Dar. Nitumieni location Lamomy Seran Chica Gee Missy Gf binti kiziwi
πΉπΉπΉ Tatizo lenu ndo hilo..Acha zako bhana. Wewe ndo wale βsina pesa kajenga ghorofaβ π
Asante Mkuu, hivyo vibunda watakuja wenzangu kuvichukuaView attachment 3676892
Ivi vibunda vya urithi nilvotoka navyo jana Zenji nataka viishie Dar. Nitumieni location Lamomy Seran Chica Gee Missy Gf binti kiziwi
Kaka unazingua..Ba tamu anaendesha tank la mafuta, hivi hapa yuko huko πΏπ²,
Ananifundishaga, nataka nijue na mie nasepea huko nje, mie ntataka cargo. Mafuta naogopa kulipuka wee.
ππ
View attachment 3676892
Ivi vibunda vya urithi nilvotoka navyo jana Zenji nataka viishie Dar. Nitumieni location Lamomy Seran Chica Gee Missy Gf binti kiziwi
Mr Universe π
Jama Ile Mercedes ndio ilinivurugaUmevurugwa na kipi sasa? πΉ
Evening madam, wala usihofu hapo lazima ufanikiwe huyo kwa wewe hawezi kukutosaπ₯Una kitu ngoja nikushikilie vizuri ili uniweke kitaalamu kwa mate wangu. π
Good morning country, Ukimuona Lamomy popote msalimie.
Christine_1 hongereni sana asee, uchumi huu nyie vijana kumiliki pesa zote hizi si masiharaView attachment 3676892
Ivi vibunda vya urithi nilvotoka navyo jana Zenji nataka viishie Dar. Nitumieni location Lamomy Seran Chica Gee Missy Gf binti kiziwi
Pole sana!Jama Ile Mercedes ndio ilinivuruga
Ila leo nimeamka nna stress tajiri yangu, hapa kichwa cha moto sana
Hii ndo pesa chafu sasaπ
DuhChristine_1 hongereni sana asee, uchumi huu nyie vijana kumiliki pesa zote hizi si masihara
MFALME WETU pesa unayo, ila angalia usije mtesa dada yetu Tayana asee ni mpole na mstaarabu sana
Ntampasua cocaUshakuwa tapeli? πΉπΉπΉ
Wewe ulimuhakikishia atanipata akakutumia miamala yake umekula kwa raha zako na dada ako hajampata ..!! Lazima awe mkali πΉπΉπΉ
Kivipi tena jamani π?Duh
Umepambana mpk nimekuja ππ
Notification nyingi sijui nij8bu ipi niache ipi...
Anyway
Nimekuja kuwaaga hata hivyo....
Kuondoka kimyakimya sio poa
Nawapenda sana
Ngoja tuangalie maisha mengine ss
Usisikitike hakuna shida yytKivipi tena jamani π?