Selfika na JF: Snap it. Show it

Maghorofa kitu gani? Mimi nachukia uongo katika maisha yangu! Lamomy alivyoonesha picha yake, hawezi kuwa amenunua kiwanja mbweni miaka ya 90s.

Hiyo ndiyo ilikuwa hoja yangu. Mengine ya kawaida.
Id yako kongwe ipi? 😹

Mi nishakwambia sina lolote njaa tupu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…