Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹😹 Eti Kantry anamjaza naye anajaa kaanza kutufunulia waraka wa baby boomer viwanja viliuzwa elfu 20..!!

Nimemwambia relaxxx sina hivyo vitu..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kheeh humu leo kuliwaka sana sio?
Nimepitwajee??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unanichekesha hapa.
Mwenzako najifunza malori kuendesha, nataka niwe πŸš› driver wa transit, mbinu ya kusepa Bongo hii.
😹😹😹 Jamaniiiii
Kwahiyo unachukua cargo au tank?

Naomba uwe unanipa lift twende wote Zambia na Congo..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…