Haswaaa!! Hawapo maana wanaacha ndala mapema sana.πΉπΉπΉ Tustaafu uduguu, tatizo wa kuwapa kijiti hawaonekani..!! Wote bado hawaja qualify mashengesha yetu..!!
πΉπΉπΉ Wewe ndo mwenyewe tandam hapo unafit unaachaje wengine wakusaidie?Ana Nguvu nyingi sana pekeangu ataniua wacha asambaze upendo! Try him ujionee !!!!βΊ
Na sie na ban πΉπΉNakumbuka, tulilimwa ban mnoo.
πππ
Sisi kazi yetu ni kuchochea ili files zimwagike waziii.Na sie na ban πΉπΉ
Halafu ule ugomvi tulivyoushadadia mpaka watu wakamwagika bila kupenda..!!
Mi nilitaka kumpa kijiti Wog lakini Wog mwenyewe kakimbia πΉπΉπΉHaswaaa!! Hawapo maana wanaacha ndala mapema sana.
Tubless tuliopo mama Mio πspidernyoka naona umetoka online wacha nikapumzishe fuvu langu sasa kesho nayo siku!
Mrare unono wapendwa.
πΉπΉπΉπΉ Siku hizi zinashuka zenyewe sisi kazi yetu ni kuweka mzigo mezani hatuhitaji cross examination kwa mashahidi..!!Sisi kazi yetu ni kuchochea ili files zimwagike waziii.
ππππ tunaiweza na tunaimudu.
ππnaomba ibaki hivyo tu maana kujitetea sitaweza πChicca ana bahati nzuri sana kamati haijawahi kukaa kwa ajili yakeπ
mbona umeacha kunijumuisha mimi sijui na nani huyo, kwan tumekukosea niniππ
Nimechekaπ€£π€£π€£,mbona umeacha kunijumuisha mimi sijui na nani huyo, kwan tumekukosea niniππ
kosa letu ni lipi?, tutabadilika plzz Warda naomb utujumuisheπNimechekaπ€£π€£π€£,
Nyie mtasikia Kwa jirani.
Jr kadondosha kimeo changu hii ya last yearTubless tuliopo mama Mio π
Mashallah πππJr kadondosha kimeo changu hii ya last year
spidernyoka Kapachino amshapopo
I was here.
π€π€π΄π΄π€π€π΄
Ukagoma kuniunga kwa groupπ πMimi nauza vijora na Tshirt wapi na wapi? π³
Niongezee mtaji niweke na Tshirt, kwani zinalipa?
Na kuchachuka?πHakuna shengesha humu, kuna ndimu ya uzi tu hapa.
πππ
Group lipo la ukooβ¦ πΉUkagoma kuniunga kwa groupπ π
Anatumia jina Gani?Babu miga yupo udugu na anatamba kama sio yeye πΉπΉπΉ
Kuna uzi alinikomalia kweli wog alivyonitonya acha nicheke..!! πΉπΉπΉ
Ni bless basi lifoto la kwenda hapa, nakusubiriππnaomba ibaki hivyo tu maana kujitetea sitaweza π
ππππ sina hata mojaNi bless basi lifoto la kwenda hapa, nakusubiri