Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,892
- 44,265
And that's why niliamua kukaa kimya since thenNothing is powerful enough to confuse you unless you give it that power.
Isihangaike ku-proof kwa hao wajinga utawapa millions reasons za kujiona wao ni better.
Waache tu maybe ndo kula yao hiyo .
Yani hayo masaa yote hujanielewa kabisa!🙆🏽♀️Kama tupo kwenye conversations na devoted partner. 😁
Nieleweshe kweli sielewi 😅Yani hayo masaa yote hujanielewa kabisa!🙆🏽♀️
Aisee🫢Nieleweshe kweli sielewi 😅
Enhe nipe concept 💡Aisee🫢
Roho yako si nzuri kivilee, unajua niko liwale nikitoka naenda Ruangwa wiki ijayo unanitamanisha hivi ili nifanyeje? Nipae? 🤣
Nimekuta vinotification hapa nikajua picha teletele. Umeanza lini kua na maneno matupu bila pichaAnd that's why niliamua kukaa kimya since then
Watu walinishauri niachane nayo nikaona sio case nikapotezea..
Ila naona still hizi mambo kila baada ya muda zinarudi may be zikitolewa maelezo itasaidia..
Na akili akili za watu wanadhani mi nilipotea humu
Sikupotea, nilikuwa nauguza mzazi mpk anafariki ndo maana sikuwa humu almost a yr ...
Narudi uzi umefungwa🤷♂️napewa story tu ...
Aisee I can't take it anymore
Ila akili za watu wanadhani nilipotea kisa huo upuuzi..
😀😀kumbe mi brand watu wanahangaika
Mimi nilitaka tu uisome mwenyew sina ninaloelewa hapo🙆🏽♀️Enhe nipe concept 💡
Maybe ni mtu unae penda mtoto kulelewa kwa misingi ya baba ?Mimi nilitaka tu uisome mwenyew sina ninaloelewa hapo🙆🏽♀️
Hapana! Bora nirudi avatar yangu nnayokula kishungi tu😎Maybe ni mtu unae penda mtoto kulelewa kwa misingi ya baba ?
Just a perception ila kwa asilimia ntakua correct 😄
We haya ikipita nakuanzishia uzi😅
Z anto 😅😅😅
kuna jamaa aliniambia humu yeye ndio producer wa wimbo wa Z anto, nilicheka kinoma, some people are effortlessly funny!
Wee hulali? au ushaanza weekend? Shemej unamhudumia sa ngap ssHapana! Bora nirudi avatar yangu nnayokula kishungi tu😎
Yani nishakasirika leo nmekula vitu vingi halafu sasa hivi tumbo linadai🤦🏽♀️
Hii ya utapeli hapana labda nitaandika msanii😎Kwamba nimekutapeli au mi msanii? 😊
Maskini ndo nakuja mtandao dadeki ulikata Anyway natumia kiswaswadu siwe9 ku selfkaMzigua_255 mzigula so uselifike kuno
Jamani tumeanza kupangiana mpaka masaa ya kulala? Ila humu ndani mtakuja kututoa roho🫢 shemeji yako ni mlinzi hapa namhuhudumia akitoka lindoo😎Wee hulali? au ushaanza weekend? Shemej unamhudumia sa ngap ss
Hmm hii ni zaidi ya minyoo aisee🤦🏽♀️Tafuna Mebendazole una minyoo wewe! 😊
Wanyooshe!Maskini ndo nakuja mtandao dadeki ulikata Anyway natumia kiswaswadu siwe9 ku selfka
Wakina nan hao?Wanyooshe!