Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio utoke huko ulikotoka unakimbilia pm za watu unaanza kumuanika mtu na picha zake eti mlikuwa wote , thats high level of stupidity!

Hata kama ulikuwa naye cha ajabu hapo ni nini? Dumbass🤦🏽‍♀️
Na nyie hamjui kulenga mimi mtu nkimualika kwenye maisha yangu basi nimejiridhisha ana mipaka ya uchizi
Sio kila anaekaa kwenye njia yako unaenda nae
 
Kwamba humu kuna vijana walio kosa akili kiasi hicho.?

Hata kama uhusiano wa kimwili upo its not worth it kutangaza watu wameoa humu hvyo sio kitu cha ajabu mpaka utangaze.

Mambo yaajabu sana yapo humu .
Ndo ujiulize
Cha ajabu nn?
Km sio afya ya akili?

Nikisema nipige hesabu ya watu nilio onana nao humu wastaarabu na wanetusaidia mambo ya maana ktk maisha utashangaa sn

Halafu anatokea limbukeni 1 akili za kipuuzi anafuata watu pm huko

Anyway ngoja nitarudi tu na risiti
 
Na nyie hamjui kulenga mimi mtu nkimualika kwenye maisha yangu basi nimejiridhisha ana mipaka ya uchizi
Sio kila anaekaa kwenye njia yako unaenda nae
Kama kawaida yako kunichekesha usiku!😂

Nimeupenda huu msamiati mpya ntawanyoosha nao jukwaani eti mipaka ya uchizi😂

Bwana wewe sijui nikuelekezeje, kuna watu hawana pesa, hawana pa kuishi, hawana kazi, ilaa.. wamejaaliwa mdomo baba🤔
 
Nothing is powerful enough to confuse you unless you give it that power.

Isihangaike ku-proof kwa hao wajinga utawapa millions reasons za kujiona wao ni better.

Waache tu maybe ndo kula yao hiyo .
 
Yani urudi hapa unitag kabisa asikuzoee huyoo! Mxieww
 
Nothing is powerful enough to confuse you unless you give it that power.

Isihangaike ku-proof kwa hao wajinga utawapa millions reasons za kujiona wao ni better.

Waache tu maybe ndo kula yao hiyo .
Imekuwa too much hapana acha amdhibiti mapema huyo mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…