binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,360
- 45,564
Mwenyewe sijui nimeona comment nimeshtuka.Kwani kuna nini tena jamani? πββοΈ
binti kiziwi mniachie Z anto spidernyoka tafadhaliMnywaji akinywa anakua sahihi kupita maelezo. We mfuatilie mnywaji kwa umakini, usimpuuze.
Vuta picha ya huyo mwanamke akiwa kwenye mid 20's kushuka alikuwaje!
πππ wewe tenaa??Hutak twende majuu tena
Issue ni deepππ½π€Έπ½ββοΈBabes naomba tuongee, tupange mpango kazi.
Uliniokoa kwenye ile issue sitaki kukuacha pekeyako, kama uko tayari tuchat, nipo nasahihisha madaftari na kesho naingia job saa tatu so nina muda.
ππ sikuhizi nipo busy sana, huu uzi naweza kurudi weekendInabidi kesho upite tena ntaweka hapa hema yangu π.
Sasa kwan kibirizi mara peramiho au mfaranyaki nakaa huku mileleπππ wewe tenaa??
Tag yako tu just tag is what I need πππ sikuhizi nipo busy sana, huu uzi naweza kurudi weekend
Moto ushaanza kuwakia cabinet ππIssue ni deepππ½π€Έπ½ββοΈ
Ulitegwa kivipi? Ni kuhusu humu selfika au kule jukwaa la siasa?Mwenyewe sijui nimeona comment nimeshtuka.
Huyu binti aliniokoa, nilitegwa mahali alishtuliwa na mtu naye akanishtua so nataka na mimi kama kuna issue nimsaidie.
Muwe makini humu.
Hahah jamani hebu tulia tupoze mioto siyeπMoto ushaanza kuwakia cabinet ππ
Hapana Jooo, umechelewa haujaona totoz.Ile list ya yule mywaji kumbe ilikuwa sahihi binti kiziwi ni mzuri asee 100/100
ππππππMama mtumishi kuna nini tenaa?
Mbona ghaflaa sanaa? Hayaa tuletee huo ubuyuu wambea tusaule saule.
Uzii unataka kuwaka tena, hakuna kupoaaa.
Alooooh, πππ
ππ asante Mkuu una uhakika gani kama sipo kwenye kundi la wapigaji?
πππ twende mletele.Sasa kwan kibirizi mara peramiho au mfaranyaki nakaa huku milele
Daah jamani mbona watu wa humu wanakuwa hivi???Mwenyewe sijui nimeona comment nimeshtuka.
Huyu binti aliniokoa, nilitegwa mahali alishtuliwa na mtu naye akanishtua so nataka na mimi kama kuna issue nimsaidie.
Muwe makini humu.
Usiwaze kipenziBabes naomba tuongee, tupange mpango kazi.
Uliniokoa kwenye ile issue sitaki kukuacha pekeyako, kama uko tayari tuchat, nipo nasahihisha madaftari na kesho naingia job saa tatu so nina muda.
Unakuja lini sasa? Alooooh kunataka kukucha sasa humu ndanii.ππππππ
Tuliaa tu nitakuja coca usiwaze
Muache ajichanganyeπNani?? Usije kuchanganya madesa. Uwiiih
Inasemekana bana kuna kijana aliniweka kwenye target halafu mi kwa uzembe wa kike nikawa namchekea, very naive π₯Ή Najua mwana tunakula story kumbe unaambiwa ana ID zaidi ya 10 zote zinakutafuta, chances are usipokuwa makini hata moja inakudaka we si unajua mwana? Halafu anaruka na we jumla jumla.Ulitegwa kivipi? Ni kuhusu humu selfika au kule jukwaa la siasa?
Humu ndani ni kuwa makini, wala sio uongo, mie nawasanua kila siku, ila hawataki kunielewa, nikisema wanakuja na hoja yao ya kila siku kuwa ni homo nawaonea wivu wao.
ππππ waache, wakati mbanga za humu karibia 95% nazijua nje ndani.
Lakini tujiulize kidogo anao wasema kaka min me ndo kina nani hao ?
Nikiwaza hilo nachoka kabsa π π ππΎ.