nimekumbuka kuna siku uliwahi kusema eti niko mmoja ila utafikiri tuko kumi,, ilikuwa uzi wa Nyenyere tulifikisha comments elfu moja watu watatu mimi Saint anne na huyo Nyenyere tunabishana tu haki na mimi nilikuwa na muda wa kuchezeaaaaa jamani khaa yaani nilikuwa kama kichaa..
Sent using
Jamii Forums mobile app