Mimi huwa nazurura kona zote!!Mimi namshukuru tu Mshana kwa huu uzi wake yaani kwa kiasi kikubwa umenifanya niache kujichosha kubishana na mafurushi,, niko zangu huku natoa stress wala hata sitaki kuchangia sana kwenye hizo nyuzi za ndoa maana unaweza tamani ulaani mtoto wa mtu.. halafu yalivyo mabishi sasa hiiiii [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mwakilishi wetu umechoka itakuwaje[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Aisee usingizi wa last night ulikuwa wa episode kama Prison Break vile 😆😆😆
Pole,,ndiyo maana Beyonce aliimba "if I was a boy"Nimetoka kwenye uzi mmoja, watu wanapovuka balaa kuhusu ndoa!!
Kwenye akili zao wanajiona wanaume ni wasafi saaaana kwenye ndoa zao!! Hivi hao wanawake wanachepuka na miti?!
Hawajui tunavumilia mangapi kwenye haya mahusiano!! Mwanaume akishatendwa anaamua kusimama na kuanza kuchafua taasisi ya ndoa!!!
Kabla hujalalamikia ndoa jitathmini, na wewe ulikuwa msafi kiasi gani?!
Kila mtu afanye venye moyo wake unataka!!
Meamua kuja kutolea nyongo hukuu!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaishia kuwaita babe!! Ndo kusema hakuna mkate mgumu mbele ya chai ama [emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole,,ndiyo maana Beyonce aliimba "if I was a boy"
Sijui kwann tu mungu aliiumba hiyo jinsia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ,likizo time na mishe za hapa na palemzee upo Zenji...ila unazurura sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mwakilishi wetu umechoka itakuwaje[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mimi huwa nazurura kona zote!!
Yaaani unapata kiungulia kikali kabisaa ukisoma!!
Nimetoka kwenye uzi mmoja, watu wanapovuka balaa kuhusu ndoa!!
Kwenye akili zao wanajiona wanaume ni wasafi saaaana kwenye ndoa zao!! Hivi hao wanawake wanachepuka na miti?!
Hawajui tunavumilia mangapi kwenye haya mahusiano!! Mwanaume akishatendwa anaamua kusimama na kuanza kuchafua taasisi ya ndoa!!!
Kabla hujalalamikia ndoa jitathmini, na wewe ulikuwa msafi kiasi gani?!
Kila mtu afanye venye moyo wake unataka!!
Meamua kuja kutolea nyongo hukuu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaishia kuwaita babe!! Ndo kusema hakuna mkate mgumu mbele ya chai ama [emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nawasomagaaa naishia tu kusonya kimoyomoyo. Ukiwakuta mafurushi wanavyopeana moyo kwenye hamna unaishia tu kusema "hiiiiiii" Mungu atufanyie wepesi.
Aisee usingizi wa last night ulikuwa wa episode kama Prison Break vile [emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani una umri gani.?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnachekesha kweli yaani eti mkanipa na cheo kabisa,, nimekumbuka cute b aliwahi kuniita msemaji mkuu wa wanawake..
Lol sasa hivi watu wengi wameshaujua umri wangu kwahiyo nikishusha tena yale magazeti najua watakuwa wanajibu tu "utoto ndiyo unakusumbua kuwa kwanza",, ilikuwa raha sana kipindi kile kila mtu anajua mie ni mama mtu mzima nina mume na watoto wanne eti ndiyo walikuwa wananisikiliza hoja zangu.. yaani JF bhana [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnachekesha kweli yaani eti mkanipa na cheo kabisa,, nimekumbuka cute b aliwahi kuniita msemaji mkuu wa wanawake..
Lol sasa hivi watu wengi wameshaujua umri wangu kwahiyo nikishusha tena yale magazeti najua watakuwa wanajibu tu "utoto ndiyo unakusumbua kuwa kwanza",, ilikuwa raha sana kipindi kile kila mtu anajua mie ni mama mtu mzima nina mume na watoto wanne eti ndiyo walikuwa wananisikiliza hoja zangu.. yaani JF bhana [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mepoa mimi dear!Pole,,ndiyo maana Beyonce aliimba "if I was a boy"
Sijui kwann tu mungu aliiumba hiyo jinsia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini eti??
[emoji1787][emoji1787]haya mmoja ndiyo huyu hapa
Cc Jael Sakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]