win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,323
- 35,080
sawa dear chapNgoja nipite kabla hawajamka
sawa dear chapNgoja nipite kabla hawajamka
nipoChap chqp kaa hapa
nipo mumy sitoki hapa nakusubirUpo kwli au
Kamamaa, umefunga Piemu.Njoo pm mrembo
Unaonekana ulikuwa mtundu sana, watoto wako wa kiume wataridhi utalia kama ambulance.Udogoni unasikia firigisi ni za mzee baba, kuzikula hadi uvizie uibe then uache home kila mtu kwenye sintofahamu nani kala firigisi za mzee.. unaweka home kwenye kuanza fanya investigation.
Lucky is your wife! 🥰Tunamalizia weekend wengine hatuwezi kunywa nje ya nyumbani aisee..
Mmmh, hatari.Chap chap
hapa nitalal na amani ya bwana,,, yu rrr so beulifoo 😍
You are beautiful toooo😘😍hapa nitalal na amani ya bwana,,, yu rrr so beulifoo 😍
thanks sweetie,,You are beautiful toooo😘😍
Goodnight 🥰thanks sweetie,,
usiku mwema ngoja nipumzishe fuvu
Na katoto kamoja ka kike, ambako ndio amani yangu ja furaha yangu na mboninya jicho langu na ndio mlinzi wangu na nina hisi ndio nimeishamaliza mchezo. Mpole sana na mda wote huwa ana wish niwe nae karibu . Hao watoto wa kiume tumewaachia nyie aisee 😅😅Unaonekana ulikuwa mtundu sana, watoto wako wa kiume wataridhi utalia kama ambulance.
Lucky is your wife! 🥰
Nilikuwa busy jamani ndio naweka ubavu kwa ngozi saa hii!
Tunapita kimya kimya bila kelele😆
nimegaili hebu tukakeshe Kule usiku wa manane kama hauna usingizi☺️Goodnight 🥰