Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,860
- 43,773
We mwanaume sio shida sn km sie wadadayale yale niliyasema huko juu
We mwanaume sio shida sn km sie wadadayale yale niliyasema huko juu
Njoo wewe home😂mie natoa mkopo ila njoo hm, kama nilivyosema mwanzo kuna 150k haina kazi hapa, maana hii sherehe niliyoitwa ni ya watoto ,hawa 20k tu inawatosha zawadi ya cheche na azam cola
SIsi ndo tutajua mali hamna au lah sio wewe. Fanya kweliSasa nitaoneshaje kitu ambacho hakipo😂
huyo mwanaume anayefungua uzi kisa mdada aliyekutana na humu huko nje ,ni chiziWe mwanaume sio shida sn km sie wadada
Mimi mnanikosesha amani mnajua eeh! Hebu mtuongoze vyema na kwa vitendo😅Huyo mtu chake ni sawa na mnasubiri Meli stand ya Magufuli.
Mimi sikuwepo
Do a favor😊
nielekeze nijeNjoo wewe home😂
Asante 🤝😄Tunakujua.
Mshukuru Mungu sana,
Yaani we ona tu kila era inayokuja inashangaa namna ulivyo na mwili mzuri.
Hebu nitumie namimi😎mie niwe mkweli PM au wasap nakutumia selfika vzr tu ila sio hapa
mnaishi kwa kujishtukia sana ,sijui tatizo niniBasi bana kila mtu na afanye lile linalompendeza😅
Dah ngoja nikaazime camera kwa jirani basi😅SIsi ndo tutajua mali hamna au lah sio wewe. Fanya kweli
Haha Christine_1 ni church girl lakini anazingatia! Si kinyonge vitu vipo!
hahahahaHebu nitumie namimi😎
Kweli u nid deliverance babgalNishaanza kujitungua zangu ndani mpaka ifike jioni sioni mbele😅
Hahha unaacha kipamaimara sio, kama uko serious njoonielekeze nije
Vitendo gani tena unataka jamaniMimi mnanikosesha amani mnajua eeh! Hebu mtuongoze vyema na kwa vitendo😅
toa location mbezi beach ipi? key point hapo nini ?Hahha unaacha kipamaimara sio, kama uko serious njoo mbezi beach
Kwakweli alijisemea mbaga tatizo mnawapa machizi😄🤪😄huyo mwanaume anayefungua uzi kisa mdada aliyekutana na humu huko nje ,ni chizi
Sio poa juzi mi mwenyewe nilipagawa si unajua chino sipagawagi kizembe. Oya vitu vipoTunakujua.
Mshukuru Mungu sana,
Yaani we ona tu kila era inayokuja inashangaa namna ulivyo na mwili mzuri.
Si ndioUsithubutu!😂
Asante iambatane na kapichaAsante 🤝😄
na ndio mnawapenda haoKwakweli alijisemea mbaga tatizo mnawapa machizi😄🤪😄