Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,079
Hamnamnawajua wenyewe
Semq si wengine tuaogopa
Utoke nq mtu hapa kumbe anakuchorq tu mwisho qje akufungulie uzi
Hamnamnawajua wenyewe
Mikopo ya kutafuta hata siitakimie naonaga tu sijui ,watafute
yale yale niliyasema huko juuHamna
Semq si wengine tuaogopa
Utoke nq mtu hapa kumbe anakuchorq tu mwisho qje akufungulie uzi
Bana vingine ni utani na wewekukopa kwenu ni lazima sio muhimu
Kila la kheri mkuu!Seran Christine_1 Mungu akipenda ,acha ni enjoy jumapili hii ,bia za kipaimara zimeanza kuja kwa wingi sasa
Usithubutu!😂Hamna
Semq si wengine tuaogopa
Utoke nq mtu hapa kumbe anakuchorq tu mwisho qje akufungulie uzi
mie natoa mkopo ila njoo hm, kama nilivyosema mwanzo kuna 150k haina kazi hapa, maana hii sherehe niliyoitwa ni ya watoto ,hawa 20k tu inawatosha zawadi ya cheche na azam colaMikopo ya kutafuta hata siitaki
jioni tukutane kawe paleKila la kheri mkuu!
Wewe huwezi kustaafuKumbe tunatakiwa kustaafu eti
Poa mwanetuSeran Christine_1 Mungu akipenda ,acha ni enjoy jumapili hii ,bia za kipaimara zimeanza kuja kwa wingi sasa
mmeona kwanini tunakosa totoz humu? mnahisi wote wanaweza kufanya huo upuuzi?Usithubutu!😂
Yamekua haya😩😩Wewe huwezi kustaafu
Upo moto zaidi ya GenZ
Huyo mtu chake ni sawa na mnasubiri Meli stand ya Magufuli.Wote tushafanya yetu kasoro wewe na huyo TM
Tunakujua.Yamekua haya😩😩
Nishaanza kujitungua zangu ndani mpaka ifike jioni sioni mbele😅jioni tukutane kawe pale
mie niwe mkweli PM au wasap nakutumia selfika vzr tu ila sio hapaHuyo mtu chake ni sawa na mnasubiri Meli stand ya Magufuli.
Mimi sikuwepo
Do a favor😊
sawa sawaNishaanza kujitungua zangu ndani mpaka ifike jioni sioni mbele😅
Basi bana kila mtu na afanye lile linalompendeza😅mmeona kwanini tunakosa totoz humu? mnahisi wote wanaweza kufanya huo upuuzi?