Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa hii yangu ina ukungu ukungu sana nakaribia kufika kwa jirani😅
Humu ndani camera za ukungu tunazo wengi..na hata picha zetu nyingi tu zimejaa ukungu mbona..
Hadi Bossledi wetu alikuwa na camera ya ukungu siku za nyuma
Na picha zilikuwa 🔥🔥🔥🔥

Mimi pia camera yangu imeingia maji mwezi uliopita.
...
Kama Kuna mabilionea hawataki picha za camera za ukungu, basi hao watakuwa wamepotea njia.
 
Aisee nimekosa kisingizio so far haya matendo yatawala😊
 
Back
Top Bottom