Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,793
- 16,379
Wapi huko nikusindikizehumu pagumu sana, majimbo yote hayasomeki
ngoja nikadoee soda za kipairamara
Wapi huko nikusindikizehumu pagumu sana, majimbo yote hayasomeki
ngoja nikadoee soda za kipairamara
Ooh hapo utakuwa umefanya jambo jemakawe jioni ,nataka nikafuate samaki pale mnadani nina hamu nao kisha nisogeee wantashi
mmmh ,unasema tu, wengi humu mna complicate mambo , ukienda direct anakuambia mie sio wa hivyo ,ukienda slow unaambiwa mbn hueleweki ,yaani tabu bin shida, ukinyoosha maelezo unaambiwa mie sio malaya,hahahahaahaHujaamua tu we mbaba😁
Ukimuamlia mmoja hapa siku aishi unajipigia mapema sana🤣
Router ni best option kuliko hizi bando za kila sikuhahahahahaha, aisee ni serious au ndio chitchat ?
pole sana, funga WIFI usiteseke na bando za buku buku
Mimi na nipige tafu damudamu.hahahahahaha, aisee ni serious au ndio chitchat ?
Nimeitoa kunako roho!Kama nilivokuona ulivyoitamka kwa msisitizo
Block 41 ,Ada estateWapi huko nikusindikize
Bado nahema.Aleikum ssalam!!
NImefurahi kukuona.
Nkuganile fijo
Hiki kizazi kipya Cha jf mmekua wa gumu kufungukaWatajua tu umeniroga maana sio mambo zangu kabisa😅
du ,nunua router tu , hiyo mikopo kila siku ,Mkuu ,router hata 50k haifiki , sasa bando kwa siku ili u enjoy utanunua ya bei gani?Router ni best option kuliko hizi bando za kila siku
Mwisho wa siku gharama za bando kwa mwezi zinakuwa kubwa kuzidi aliyefunga router.
Mimi na nipige tafu damudamu.
Nawalipaga
Halafu naanza upya kuwakopa.
Kesho niwalipe.
Kwani malaya huwa anasema yeye ni malaya? Weka dau mezani watu wafanye kazi! Kavipi zama pm ujichagulie unaweza jipigia ngapi ngapi ukiwa serious mbona! Wenzako wanakula Kimya kimya wewe unataka kufuata protocol, hauko serious aisee!mmmh ,unasema tu, wengi humu mna complicate mambo , ukienda direct anakuambia mie sio wa hivyo ,ukienda slow unaambiwa mbn hueleweki ,yaani tabu bin shida, ukinyoosha maelezo unaambiwa mie sio malaya,hahahahaaha
🤣🤣🤣baadae kipenziHaya tubless na kapicha ka church
Kweli kabisaAu nasema uongo ndugu zanguni🤷🏽♀️
Nina 5 days tudu ,nunua router tu , hiyo mikopo kila siku ,Mkuu ,router hata 50k haifiki , sasa bando kwa siku ili u enjoy utanunua ya bei gani?
Nijaribuni mimi, mbona ntawabless kila mmoja bila shida tatizo mnapenda mambo makubwa, sisi ndio tuko😁Hiki kizazi kipya Cha jf mmekua wa gumu kufunguka
Zamani watu walikua hawafi na tai shingoni.
Karibu sanaBado nahema.
MUNGU ni mwema.
Namshukuru Mungu pia amenipa nafasi nyingine tena ya kuwaona ndugu zangu Selfika.
hahahahaha ,unaenda PM unatoswa hlafu unakutana na vijembeKwani malaya huwa anasema yeye ni malaya? Weka dau mezani watu wafanye kazi! Kavipi zama pm ujichagulie unaweza jipigia ngapi ngapi ukiwa serious mbona! Wenzako wanakula Kimya kimya wewe unataka kufuata protocol, hauko serious aisee!
Asante ChinoKaribu sana
pole sanaNina 5 days tu
Nipige Tafu wananidai 25k
karibuOoh hapo utakuwa umefanya jambo jema
Unapiga chini unatafuta mwingine! Mbona wenzio wanakaza we vipi?hahahahaha ,unaenda PM unatoswa hlafu unakutana na vijembe
Asubuhi sana hiyo😂kwenye bold nitazingatia
ngoja nione hii 150k kama inaeza beba mtu humu