Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,860
- 43,773
We si ndo umesema nikutafute wiki ijayo🤣hahahahaha,wiki ijayo si ni kesho tu inaanza?
Haya sema ni lini?
We si ndo umesema nikutafute wiki ijayo🤣hahahahaha,wiki ijayo si ni kesho tu inaanza?
sawa tutafutane hiyo week ijayo,nitakua nimetuliaWe si ndo umesema nikutafute wiki ijayo🤣
Haya sema ni lini?
ngoja wanakuja
nimefurahi kukuona, tupige mastory ya week endngoja wanakuja
nimefurahi pia,,nimefurahi kukuona, tupige mastory ya week end
Mtoto wa kike mara nyingi anamthamini mtu anayemtatulia shida zake kwa wakati huo alio nao. Siku ukiwa huna ;aliyenacho ndio anachukua nafasi yako ya ufalme.dah si mchezo ,life imekua tyt sana
halafu unakuta mdada unamsaidia hata 20k anakudharau ,wkt road anaongea mwenyewe
dah kumbe eeh ,ndio maana basi ....Mtoto wa kike mara nyingi anamthamini mtu anayemtatulia shida zake kwa wakati huo alio nao. Siku ukiwa huna ;aliyenacho ndio anachukua nafasi yako ya ufalme.
story ilikua PM hapa ni porojo tunimefurahi pia,,
eh leta hizo story sasa tusongeshe gurudumu
kumbe!,, sikujuastory ilikua PM hapa ni porojo tu
hahahahahahakumbe!,, sikujua
Ss na app yenyewe nime install ila hakuna nomasawa tutafutane hiyo week ijayo,nitakua nimetulia
ooohSs na app yenyewe nime install ila hakuna noma
Hahaha
Tununutwambombo
Umenichekeshahumu pagumu sana, majimbo yote hayasomeki
ngoja nikadoee soda za kipairamara
hapana sijaingia jimbo la mtu ila si naona humu kuwa majimbo yana wenyewe ,so unakua mpole tu , mie natafuta la kudumuUmenichekesha
Una uhakika?
Labda uliingia majimbo ya watu
Hapa tu nimeingia Kwa hisani ya Nipige Tafuhahahahaha
Mmh jimbo lente mtu humu ni 1 tu official na linajulikana bwanahapana sijaingia jimbo la mtu ila si naona humu kuwa majimbo yana wenyewe ,so unakua mpole tu , mie natafuta la kudumu
hahahahahaha, aisee ni serious au ndio chitchat ?Hapa tu nimeingia Kwa hisani ya Nipige Tafu
Wale maboss wa Jf
Mwenyezi Mungu awabariki sana ,mlitutunza sana
Wa kike na wa kiume
Wafanye jambo
Jobless tupate vocha
Aleikum ssalam!!Tununu
Aslam aleiykum chinowananan