Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna siku mwaka jana nadhani, kuna mtu alikuja kwenye huu uzi aka comment kwa sasa tunaweza kutoa hivyo vivuli, nilishtuka 🤣

Unajua kuna akina mahonda, christine, seran na wengine hawana shida maana wala hawahangaiki na majukwaa ya siasa, kasheshe ipo kwetu sisi visebengo 😀
Hii ilinikuta insta..
Nilimblock yule mtu, zima location etc

Shost mi nilikuwa mdau wa jukwaa la siasa infact ndo lilifanya nijiunge jf..kipindi cha magufuli ndo nikaachaga ..
 
Back
Top Bottom