ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,564
- 43,679
Umechukua acha kuvunga 🤣🤣Shes, sikuchukua ile picha, niliiona nikaicha hapa hapa.😊
Sasa ukikubari kuna shida gani we mtu ya kongo
Umechukua acha kuvunga 🤣🤣Shes, sikuchukua ile picha, niliiona nikaicha hapa hapa.😊
Unawajua wakongomani wewe kipenzi😢😢🤣🤣
Exactlybinti kiziwi kama hiyo yako hapo kukufikia ni dk zero kabisaa 😅😅 sasa weye shupaza shingo siasani, jamaa wajipatie mali safii
Unaona mambo yako? 🤣🤣🤣 Ili mradi nife kwa pressure!Tayari mama Bango hilo watu wa IT shwaaaa🤗
😂😂😭😭😭Binti kama huyu anawezaje kuwa kiziwi!, mkuu una utani na huo uzuri sio!
Hamna ustarabu wowote ule 🤣🤣Sasa ukongomani unakujaje? Kuwa mkongomani haina maana usiwe mstaarabu! 😊
Na ile michezo yao nomaaaaa! 😂😂😂binti kiziwi kama hiyo yako hapo kukufikia ni dk zero kabisaa 😅😅 sasa weye shupaza shingo siasani, jamaa wajipatie mali safii
Yoooo 🥹🥹 ninavyokupenda ya rab naanzaje mimi 🤗🤗Unaona mambo yako? 🤣🤣🤣 Ili mradi nife kwa pressure!
Watakufilimba 🤣🤣 ohooooNa ile michezo yao nomaaaaa! 😂😂😂
Watakugombania kwekweli😅😅Na ile michezo yao nomaaaaa! 😂😂😂
Hamna ustarabu wowote ule 🤣🤣
Kazi kula popo
Safiii ulimtukana kwa ung'eng'e au 🤣🤣Nilimtukanaaaa! Imagine ile issue ya october ilivyokuwa moto halafu mtu anakuja kuniuliza kama namjua huyo jamaa!
Watu tumetoka kulia huko anataka humu JF tuchomane.
Lakini mimi nimewakosea nini?Wakufilimba 🤣🤣 ohoooo
😆😆😆Wakufilimba 🤣🤣 ohoooo
Unatuona kama mat... yako eti eeh😌🥸! Wewe mwenyewe unajua kabisa kwamba ni kisu ila unavyovunga sasa 😁🙌!😂😂😭😭😭
Akili yako inakwambia mi sijui matusi, nimekulia singida kwetu uswahilini kabisa 😀Safiii ulimtukana kwa ung'eng'e au 🤣🤣
Nafanana na Ndalichako copySawa, sasa na wewe tuone picha yako sasa! Naamini wewe ni binti mzuri pia.
Nashindwa kuaelewa 🤗Akili yako inakwambia mi sijui matusi, nimekulia singida kwetu uswahilini kabisa 😀
binti kiziwi mzuriiiii kama nini 🥹😘😘