Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,076
Nashindwa kuwaelewa😁😁😁
Mpaka nimetoa miwani kwanza ujue! Aah Mungu fundi asee, nimemwona binti kiziwi hata sijamaliza kutabasamu vizuri wewe nae huyo ! Duuh mtaua kwakweli 🙌Nin shida bro
Tujaze tuvimbe tu ...acheni unafiki 😄😄Mpaka nimetoa miwani kwanza ujue! Aah Mungu fundi asee, nimemwona binti kiziwi hata sijamaliza kutabasamu vizuri wewe nae huyo ! Duuh mtaua kwakweli 🙌
Nashindwa kuwaelewa😁😁😁
Namshangaa😄😄Eeeh niliona sehemu unajimaliza oooh Selfika watu wanafki wanafiki who 🤣
Mnajikuta kina nani sijui wenyewe 🤣🤣🤣
Eeeh niliona sehemu unajimaliza oooh Selfika watu wanafki wanafiki who 🤣
Mnajikuta kina nani sijui wenyewe 🤣🤣🤣
Na mie unafiki ndiyo ziwezi mahi 😅Namshangaa😄😄
Ndio kwa sehem yangu ...Kwanini hutakiwi kutumiwa hela?
Wewe ni mwanamke mzuri. 😊
😄😄😄Na mie unafiki ndiyo ziwezi mahi 😅
Nishamwambia tena huyo mkongo 🤣
🤣🤣🤣 yeuwiiiiiiiiii eeeh karaghabaoIpo hivi, mwanamke mzuri ni mzuri tuu. Hakuna unafiki kwa mwanamke mzuri.
Hatuwezi kukunafikia ukiwa mzuri. 😊
HukuwepoWakuu Em kuweni serious basi! ShesRise_1 amepita saa ngapi hapa!
Ndio kwa sehem yangu ...
Kila 1 ana uzuri wake😄😄
Jana mmesema wengine tutafute hela tusiombe
Muone huyu nae😅Wakuu Em kuweni serious basi! ShesRise_1 amepita saa ngapi hapa!
Wakuu Em kuweni serious basi! ShesRise_1 amepita saa ngapi hapa!
Nakataa kwa nguvu zangu zote, nilikuwepo muda wote ShesRise_1 please pita tena 🤌🤏 hata nisipokuona niskie harufu ya unyunyu tu🥸!Hukuwepo
IrudiweAmepita, lakini chap kafuta picha wala hatujaiona mkuu.
Sahau hata sikudanganyi mkuuNakataa kwa nguvu zangu zote, nilikuwepo muda wote ShesRise_1 please pita tena 🤌🤏 hata nisipokuona niskie harufu ya unyunyu tu🥸!
Irudiwe
Sure, hufananii uongo, haya pita tena basi binti mzuri 😻😋Sahau hata sikudanganyi mkuu