Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabiiiiiiiiiiiiiiiiiiisa ! Wanajifanya kudis uzi afu wanakuja kuchungulia kimya kimya wengine wanakuja kivingine huko ni kuteseka!
Wachunguliaji ndio wengi zaidi watu wanajua kujitesa aiseešŸ˜‚

Unajiachia mwenzako anagugumia kwa maumivu ka mchawi šŸ˜‚šŸ’”
 
Hio mbona iko kitambo sana mamchu wee hujui ??? Mie sasa kuna wananichekesha nikituma wanachukua kumpelekea smari akati tayari anazo zakushatroooo na mpaka kuja kutuma hapa means anaziona vizuri tu na anajua kila kinachoendelea
Kuna watu hawanaga mambo ya kufanya aisee! Humu tupo kwaajili ya kujifurahisha kumbe wengine wamepanga kabisa vyumba wanaishi humušŸ˜‚
 
Kuna watu hawanaga mambo ya kufanya aisee! Humu tupo kwaajili ya kujifurahisha kumbe wengine wamepanga kabisa vyumba wanaishi humušŸ˜‚
Kuna enye wanajifanya very descent maninazao kumbe ni mbwamwitu walojivika ngozi ya kondoo!!
 
Back
Top Bottom