Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,578
- 88,471
Yani sipiti mpaka upite😃We kutaka kuninyanyasa tuu kupita aaahh
Yani sipiti mpaka upite😃We kutaka kuninyanyasa tuu kupita aaahh
Vyote ndio vipi? Kontena ni nini?😂
Nilitoka onln mara moja haikuwa bahati yangu 😅Na wewe umepitwa😁
nilipita naked
Bado tu hapa Kila mda na refresh pageYani sipiti mpaka upite😃
Wewe ukianza mimi napita kama TayanYani sipiti mpaka upite😃
Tena kama mimi ndio mpaka uniwashe banz! Kwahiyo hicho kishuzi ndio container sio?View attachment 3662161tatizo binadamu wa sikuhizi wagumu sana kuelewa
Hatupiti leo tumegoma tayana kashafanya yake waokoe vijana wenzio huenda ukatushawishi!😁Bado tu hapa Kila mda na refresh page
Leo tutakesha hapa!😎Wewe ukianza mimi napita kama Tayan
Lete tulione tujue namna ya kukushauri kitaalamTena kama mimi ndio mpaka uniwashe banz! Kwahiyo hicho kishuzi ndio container sio?
Unluckily, langu limeungana na mgongo, and whenever I try to lose weight na lenyewe linasinyaa🤗
Aanh hapana mtaishia kunicheka tu😁Lete tulione tujue namna ya kukushauri kitaalam
Ali selfika 😂✌🏾Nimepitwa nini, hakuna redo😁
😆😆😆😆View attachment 3662161tatizo binadamu wa sikuhizi wagumu sana kuelewa
Professionals haturuhusiwi kucheka situations za watuAanh hapana mtaishia kunicheka tu😁
Najua lako utakua una mfanania dada angu Bantu LadyTena kama mimi ndio mpaka uniwashe banz! Kwahiyo hicho kishuzi ndio container sio?
Unluckily, langu limeungana na mgongo, and whenever I try to lose weight na lenyewe linasinyaa🤗
We ni daktari wa surgery au😂Professionals haturuhusiwi kucheka situations za watu
😆😆😆kwahiyo ambao hilo container hatuna tufanyejeTena kama mimi ndio mpaka uniwashe banz! Kwahiyo hicho kishuzi ndio container sio?
Unluckily, langu limeungana na mgongo, and whenever I try to lose weight na lenyewe linasinyaa🤗
Unfortunately sijawahi kulipna la huyu dada yako!Najua lako utakua una mfanania dada angu Bantu Lady
Wao sasa, huwa wanatembea kama wamebeba dunia huko nyuma!👌🏽😁Na si unajua mliopewa kwenye kutembea dunia yote hua yenu hua mnajikuta nani vile
Mjizike tu😁😆😆😆kwahiyo ambao hilo container hatuna tufanyeje