Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,438
- 87,993
Nina mwaka situmii sijui hata coz sioni tofauti!Unaamini mambo ya suncreen???
Nina mwaka situmii sijui hata coz sioni tofauti!Unaamini mambo ya suncreen???
Mbona ipo..Nimepitwaje hapo
Nimerefresh lakini siioniMbona ipo..
Pole sana, uko makini na za wenzio zako aannhh!! Safi😎Nimerefresh lakini siioni
Sshv nimeshameza punje zangu 3 za vitunguu swaumu...unajua ipo suppliment yake pia??You are blessed mamaake😍
Kweli wewe huhitaji mambo mengi, you r beauty is natural💋👌🏽
Mbona unanigeuka tena rafiki😄Pole sana, uko makini na za wenzio zako aannhh!! Safi😎
Mi siaminiNina mwaka situmii sijui hata coz sioni tofauti!
Pole snNimepitwaje hapo
Nimefuta asapNimerefresh lakini siioni
NdiomaanaaNimefuta asap
Hii naisave kwenye notes zangu mama barikiwa! Of all ninakunywa tu chai ya karafuu ya unga au maji ya karafuu xa mbegu.Sshv nimeshameza punje zangu 3 za vitunguu swaumu...unajua ipo suppliment yake pia??
Halafu juice ya vitinguu maji , done baada ya kula...
Na chai ya karafuu na mdalasini natumia kwa interval ...
Asubuhi asali vijiko 2, nakaq 1 hr km sio juice ya bamia , basi nakua na kitu kingine ....
Mchana km ugali na mboga za majani tu ....soda , juice za dukani inaweza pita miezi nishasahau...
Km kuna ulazima wa chai basi na asali ...
Oregano juice muda wowote tu maana mi machuma tu majani yake hapa home .....
Ss Google vyote hivi uone faida yale mwilini ma vyote vina suppliment ....ila mi nimeamua kutumia natural
Haya msimulie 😀😀
Kwenye skin care usiache sunscreen ni life saverYes hivi ndo muhimu
Hakuna cha skin care wala nn
Mi situmii hayo mambo
Mpaka upite hapa ndio nitakuwekea ulichopitwa😎Mbona unanigeuka tena rafiki😄
Kama umeweza sasa hivi basi hunahaja tena😅Mi siamini
Labda nikifika 60 huko nitaangalia
😆
Chukua sunscreen ya Halu halu pale Korean cosmetics ni nzuri haiachi weupeNitazitafuta! Kwakweli kupigwa jua skin care inadunda👌🏽😃
Situmii chochoteKwenye skin care usiache sunscreen ni life saver
Waaooohh...🔥🔥🔥🔥🔥Nothing serious zaidi ya ngozi hap
Ungemuacha ateseke kidogo bana😎Nothing serious zaidi ya ngozi hap
We kutaka kuninyanyasa tuu kupita aaahhMpaka upite hapa ndio nitakuwekea ulichopitwa😎