Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,380
- 42,447
Ngoja nikutafutie picha zile fupiEwaaa na zile zina fupi pia wacha kabisa...na mwendo ukiwepo aaah nang'oa moyo nakupa unihifadhie 😄
Hahah
Ngoja nikutafutie picha zile fupiEwaaa na zile zina fupi pia wacha kabisa...na mwendo ukiwepo aaah nang'oa moyo nakupa unihifadhie 😄
Naogopa supplements sijui nazionajeUtafika vizuri tu, mimi nitapungua tu hata kwa supplements aisee! Sitaki huu mwili🥹
Nikifikisha kilo 68 nitaanza hizi pigo zako, sasa hivi nikiiga nitachekesha umma😓Hizi ndefu
Nakuja kukutesa ngoja nitakupa code 🤣Njoo basi unitese kidogo jamani, au nitafute mpenzi anichangamshe kidogo🤔
Mi I dont recommend kwakweliNaogopa supplements sijui nazionaje
🤣🤣🤣🙌ila wwNikifikisha kilo 68 nitaanza hizi pigo zako, sasa hivi nikiiga nitachekesha umma😓
Mimi siziogopi nyingi zinatengenezwa na vyakula tu, nanunua maduka ya dawa au kwa pharms! Sio vichcochoroni tu.Naogopa supplements sijui nazionaje
Humo humo...ziwe na suede material pia hehee grey, brown, blackNgoja nikutafutie picha zile fupi
Hahah
Hebu unipee hizo codes aisee, naona bora niwe bouncer tu kuliko kitoto cha tembo😎Nakuja kukutesa ngoja nitakupa code 🤣
Halafu mchawi mwingine menu ujue
Nakula tu vyakula naturalMi I dont recommend kwakweli
Hahaa...hauwi baunsa bana...ila zingatia menu asee ndio uchawi ulipo asikudanganye mtu.Hebu unipee hizo codes aisee, naona bora niwe bouncer tu kuliko kitoto cha tembo😎
Nakazana na zoezi japo kuna nachokaaUnaweza ukiamua dear
Natamani 65 kg sijui nitafika?
Nazionaga SH AMONMimi siziogopi nyingi zinatengenezwa na vyakula tu, nanunua maduka ya dawa au kwa pharms! Sio vichcochoroni tu.
Utaniandikia formula niibandike kabisa jikoni kwangu😁Hahaa...hauwi baunsa bana...ila zingatia menu asee ndio uchawi ulipo asikudanganye mtu.
Wewe lazima ngozi yako iwake 😄 jua hulisikii sana 🤣 na vijasho vya tone tone vilee 😅Nakula tu vyakula natural
Na juice za matunda kama machungwa,karoti,beetroot, tikiti nanasi
Collagen nachemsha mifupa napata collagen nzuri sana
Nitazitafuta! Kwakweli kupigwa jua skin care inadunda👌🏽😃Nazionaga SH AMON
Usisahau sunscreen nayo
Jenzii😎View attachment 3662116@Chica Gee