Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,193
- 183,008
Kuja tukauze dagaaaa pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz!😄😄😄!!Unanitega...![]()
Kuja tukauze dagaaaa pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz!😄😄😄!!Unanitega...![]()
Hi ccy
Hi sis ! Tunapishana sana sis sio kwa kutongwa hukooo!!Hi ccy
Asante sasa leo tumepatana selfika kabisa kabisaHi sis ! Tunapishana sana sis sio kwa kutongwa hukooo!!
Nafurahi kukuona tena selfika karibuuu
Ndio sis kabla hujawa bize usisahau kuubles mchana wangu!Asante sasa leo tumepatana selfika kabisa kabisa
Umenilipiziaa😫
Hapana lamama afu mbona imekaa sana!! Sina jipyaaa niliweka hii hapa!Umenilipiziaa😫
My babes❤️Hapana lamama afu mbona imekaa sana!! Sina jipyaaa niliweka hii hapa!
Nougaa sana mamy!! Jichoo kunguuuu lips 💋My babes❤️
Tumemalizana😎
Aiii na hili jua, bichwaa!🤸🏽♂️Nougaa sana mamy!! Jichoo kunguuuu lips 💋
Wabheja sana
Kabisa lamama uko vyediiiAiii na hili jua, bichwaa!🤸🏽♂️
Thanks shorii🥰Kabisa lamama uko vyediii
Mdogo wako sio leo, mwandiko usikuvuruge!ila mdogo wangu bwaanaa.!
unataka kuona nini.!?😁
tuna case mimi na wewe..!Mdogo wako sio leo, mwandiko usikuvuruge!
Nataka kumuona membo wetu wa series crew😂
😹😹😹😹 Mbona hukunitonyaLamomy
Uduguu, kumbe ndo varangati lilikua lile? Mbona sio jipya, afu nilipewa wakati niko nje ya JF,
Ila JF jamani, Mr Mio ana dunia yake wanawake kutwa kujigonga kwake, au hizo faranga anazogawa mahi? Afu unaambiwa ana coward wake humu wa kumpasia upendo na cross. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabwakuuu. Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya hiyo halafu kesho tuje na Ids zetu kunako sirini! 😎tuna case mimi na wewe..!
ngoja nione kama nitapata chochote kitu..!
Tatizo huyo mpare unamuendekeza sana mpk unapitwa…!! 😹😹Uduguu sasa kwanini hukunitag jamaniii? Nimeumia mno kupitwa na hilo varangati Aloo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
nakuwekea chap na kuitoa, are we clear katotoo, ukae rada..!Fanya hiyo halafu kesho tuje na Ids zetu kunako sirini! 😎