Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaita kidali! Akitegesha unalalia ila sisi wenye kg zetu dk 0 utasikia "inuka kidogo unaniumiza"
Kweli vijana wanafaidi, sisi mwaka 47 kwenye vitanda vyetu vya kamba hakukuwa na hizo mambo

Kitendo cha bibi kuja juu ilikuwa ni kwa tahadhari 🤪

Koh koh koh 🏃🏃
 
Back
Top Bottom