Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,588
- 83,137
Nasubiri suprise yako😎Kuna masharti humu kama kwa mganga daadeki, anyways naona cha msingi ni kublesiana tu,maana nikisubir napitwa daily
Ntakusurprise
Nasubiri suprise yako😎Kuna masharti humu kama kwa mganga daadeki, anyways naona cha msingi ni kublesiana tu,maana nikisubir napitwa daily
Ntakusurprise
Nimefika😃Nipo njoo!
Nimepitwa nini jamani🙆🏽♀️
Unafika bila ushahidi wa picha😁Nimefika😃
Nipitishie moja tena basiUnafika bila ushahidi wa picha😁
Tunapishana mno mkuu😃Unafika bila ushahidi wa picha😁
Nilikua nawasalimia tu warembo sina jipya!Nimepitwa nini jamani🙆🏽♀️
Umeanza kuzoea sio😂Nipitishie moja tena basi
Acha tu vibarua hivi🥲Tunapishana mno mkuu😃
Wacha tumpambaie bossAcha tu vibarua hivi🥲
NakudaiUnafika bila ushahidi wa picha😁
Hauko serious unajua🥹Nakudai
Kivip na nilifanya part yangu hukutokea😃Hauko serious unajua🥹
Uwe unanishtua kwanza!Kivip na nilifanya part yangu hukutokea😃
Niko poa sijui wewe!Sawaa sawaaa
U hali gani lakin
Namshukuru Allah nipo salama piaNiko poa sijui wewe!