Fantasy Yako
JF-Expert Member
- Jun 29, 2026
- 383
- 970
😁😁 humu zibaki ID hivi hivi siku zikiwa exposed mbona itakuwaa weweoooooKuna waziri mmoja humu ana id ya kipuuzi kabisa na tuliwahi kutukanana..!! 😹😹
Sasa siku moja……. Au basi 😹😹
😁😁 humu zibaki ID hivi hivi siku zikiwa exposed mbona itakuwaa weweoooooKuna waziri mmoja humu ana id ya kipuuzi kabisa na tuliwahi kutukanana..!! 😹😹
Sasa siku moja……. Au basi 😹😹
😹😹😹 Muite babu miga.!!😁 hii fantasy yangu niaipambania sanaaa kitoto nikiite hata jila member mwenye matata yakee humuu... iwe ukumbusho
Uoga weka pembeni una mvuta tu hata awezi gomaa watu walivyo na shauku ya kuonana humuu
😁😁😁😁 imeisha hiyooo miga au lamomy acha niongezee speed tu mwakani majira kama hayaa tuwe na kitoto cha jf😹😹😹 Muite babu miga.!!
Akiwa wa kike Mpe Lamomy
Sema JF watu sio waoga kabisaa yani na papa wanapeana bila uoga hadi wanagombana..!! 😹😹
Tanzania watu wana nyege sana..!!
😹😹😹 Haziwezi.😁😁 humu zibaki ID hivi hivi siku zikiwa exposed mbona itakuwaa weweooooo
😁😁😁 dah! tuendeleee tu kufichwaa maana wengine tunaimba na kwayaaa alafu kanisani kama malaikaa vileee😹😹😹 Haziwezi.
Kama twitter kule kuna siku ulianzishwa mjadala mademu wakawa wanaforce nipewe mic wasikie base waloe..!!
Nikagoma nikawaachia space yao..!!
😹😹😹 Waungwana wako serious humu, watu wanaumbuana kisa mkuyenge ambao Community peni s 😹😹😁😁😁😁 imeisha hiyooo miga au lamomy acha niongezee speed tu mwakani majira kama hayaa tuwe na kitoto cha jf
sema wanazingua kugombania mambo ya bureee kabisaa yasio na hatimiliki kila mtu akule kwa mda wake amani na furaha iendelee ila wengine wata kujimilikisha vyoo vya umaaa 😁😁😁
nchi hii usipokuwa na nyegee utajikuta unakuwa mwana harakati mwisho utekwe na kupotezwa
😁😁😁 kuna wengine hapa hadi tunataka kuzalishaaa na PM zetu ziko waziii .. sijui hawatuoniii ila ndio ni mali ya uma sasa😹😹😹 Waungwana wako serious humu, watu wanaumbuana kisa mkuyenge ambao Community peni s 😹😹
Tatizo upweke na kukosa soko kukizidi ndio husababisha ugomvi.. mnagombaniaje mtu mmoja si wawape na wengine nao waonjepo mikei ya bure jamani..!! 😹😹
Na wewe si unipe huo ubuyu wa huyo member 😹😹😹😁😁😁 kuna wengine hapa hadi tunataka kuzalishaaa na PM zetu ziko waziii .. sijui hawatuoniii ila ndio ni mali ya uma sasa
itakuwa mapenzi ya humu ndani yapo unique labda kama yule wa janaa hadi usogoni tamu ulibakii
😁😁😁😁😁
😅😅😅 mtoto atakuwa mali ya jf.. goja huyu wa jana labda kitu itaitikaaa maana anadai alikuwa danger sasa sijui ya kweli ua danger nyingineNa wewe si unipe huo ubuyu wa huyo member 😹😹😹
Wakupe uwazalishe tutasaidiana kulea wana JF hata kwa buku buku tutamsapoti..!! 😹
Nilijua tu 😹😹😁😁😁😁😁
Kufake kipajiii cha bureee
AYnay a.k.a Kwaya master 🔥🔥
Ukinikuta mbelee pale na nanyanyua mikonooo paka mbinguuuui zinafungukaaaaaa
Kajichanganya 😹😹😹😅😅😅 mtoto atakuwa mali ya jf.. goja huyu wa jana labda kitu itaitikaaa maana anadai alikuwa danger sasa sijui ya kweli ua danger nyingine
utamjua tuu maana hapa kanipigia simu na sijaokotaa naona anajua namwaga mbogaaa
😅😅 vijana wa hovyo itakuwa wanajitumia tu PMNilijua tu 😹😹
I’d yako ya kike umeitelekeza leo? 😹
Yupo na Penseli aiseee ana id nyingi na ukiona id inakutongoza na kukutukana ujue ni Penseli 😹😹😹
😅😅😅 na uzuri wa jf huwa ni swala la mda tu kabla vitu havijalipukaaaaa na mambo yote kuwa waziiiKajichanganya 😹😹😹
Atulie em tupate ubuyu wambea..!!
Sema ni suala la muda ipo siku ataletwa nginja nginja hapa..!!
Ko umesasambua sambusa jana ya mwana JF? 😹
Mtaje basi 😜
Vilipukee kuchangamke 😹😹😹😅😅😅 na uzuri wa jf huwa ni swala la mda tu kabla vitu havijalipukaaaaa na mambo yote kuwa waziii
Mapenzi ya JF yanachekesha 😹😹😹😅😅 vijana wa hovyo itakuwa wanajitumia tu PM
Kujaribu bahati yaoo.. mchuchu wa jf si hataki niwe ivyoo.. kaichukua ID na passowrd zakee
Watu wanapenda matusii hatari , ukweli na heka heka zangu humu siwezi mtukana maana tusi halitonoga tusi zuli ni la live
Kinukishe basi 😁😁Vilipukee kuchangamke 😹😹😹
Kuna bomu soon litalipuka hapa sema wahusika wanachelewesha..!!
Sijui niwasaidie kulipua 😹😹😹
😁😁😁😁Mapenzi ya JF yanachekesha 😹😹😹
Hivi kupeana password ndio kupendwa?
Mtu ana id 10 anakukabidhi moja tayari unaona Kama ushaolewa 😹😹