Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

1791262695199.jpg
 
😹😹😹 Em weka basi pic yako nikuone mrembo..!!

Unaonekana wa kisasa Malle, halafu hivyo vidude unauza shingapi?
Nataka gauni la nyuzi nyuzi la mama kijacho..

Nataka nimnunulie ex wa ex wangu zawadi yake ya kupigwa mimba na kutelekezwa..!!
We lamomy mjanja sanaaa😹😹
 
We lamomy mjanja sanaaa😹😹
😹😹 Malle acha uoga dogo langu tupia pic hizo, kila siku nafika hapa naambiwa umepita umeshtua server za JF..!!

Em fanya jambo kwaajili ya dada mkubwa hapa..!!

Ujue wewe mzungu, una pigo flan za mambele..!! 😍
 
Back
Top Bottom