Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,562
Mmmh si KWELIndio ananizidiš tena mbali mno
Mmmh si KWELIndio ananizidiš tena mbali mno
Suti mpya nyingi š¹
Unapata cappuccino š»
Mwenye glass ya mocktail mbona umemficha sasa š¹š¹
Kula BOOM likuzoee....
ššš mie ni yule yuleeeeee wa miaka yooteeeSuti mpya nyingi š¹
Haya wewe nani tena?
Nimekuta tag km zoteee
Tukumbashane id ya zamani ipi?
Mgeni anamfahamu mpk Lamo aahh wewe mwenyeji kabisa pande hizi..!! š¹
Btw nimependa outfit 8/10 š»
šš mwenye hiyo grass ni member wa jf hajapendaa kuonekanaaa anajulikanaaaMwenye glass ya mocktail mbona umemficha sasa š¹š¹
Hiyo salad š
Hilo pembeni pilau la ngamia?
Em weka pic vizuri basi tule kwa macho..!!
ššUnapata cappuccino š»
Unatafuna maisha sio maisha yanakutafuna..!! š¹
Kijana unaonekana mambo safi wewe umepoa Kama mvinyo wa kale.. mashallah.!!
š¹š¹š¹ Nani tena huyo?šš mwenye hiyo grass ni member wa jf hajapendaa kuonekanaaa anajulikanaaa
š š ataninyimia tena utamuu wake, atasema nime mtangazaaaš¹š¹š¹ Nani tena huyo?
Niambie simwambii mtu..!!
Hii ndo shida ya JF unaweza kuwa yoyote muda wowote..!! š¹š¹š¹ššš mie ni yule yuleeeeee wa miaka yooteee
Tupo wote tunazunguka humu humu suti mpya ila mtu wa kale kabisaaa
Kumbe na utramu mshapeana? š¹š¹š š ataninyimia tena utamuu wake, atasema nime mtangazaaa
š š š šHii ndo shida ya JF unaweza kuwa yoyote muda wowote..!! š¹š¹š¹
Unakuta bwana ako anakutongoza mara ya pili kwenye id yako nyingine š¹š¹š¹
šš Utamu paka kisogoni , utamu unao kelaaa.. mtoto anajua mambooo lol! kama kazaliwa spaniolaaaa kwa mahaba yakeKumbe na utramu mshapeana? š¹š¹
Kwahiyo wote mmekojoa? š
hahaha pembeni uwe na toto mbili inanoga zaidiBiriyani ,ukishushia na lager,inakua ijumaa Kareem
Hahahahahahaha pembeni uwe na toto mbili inanoga zaidi
š weekend bila totoz nzuri hainogi, inakosa kiungo muhimu kabisaHahahaha
š weekend bila totoz nzuri hainogi, inakosa kiungo muhimu kabisaHahahaha