Fantasy Yako
JF-Expert Member
- Jun 29, 2026
- 383
- 970
😁 weekend bila totoz nzuri hainogi, inakosa kiungo muhimu kabisaHahahaha
😁 weekend bila totoz nzuri hainogi, inakosa kiungo muhimu kabisaHahahaha
Nimeokoka😁 weekend bila totoz nzuri hainogi, inakosa kiungo muhimu kabisa
😹😹😹 Hatari sana..!!😅😅😅😅
eeeh! na mkikubaliana mkikutana mnafanya tu kama hamjuani yani.. kitawakia home mtapo rudi ila mkiwa hotel nikupeana tu mambo hadi paweka moto
Nitajie basi na wewe khaaaa..!! 😹😹😹😁😁 Utamu paka kisogoni , utamu unao kelaaa.. mtoto anajua mambooo lol! kama kazaliwa spaniolaaaa kwa mahaba yake
😅😅 Ukikaaa vibaya unarudiana na usie mtakaaa😹😹😹 Hatari sana..!!
Humu kukaa kimasta sana..
😅😅😅 ulitakiwa kumteka Engineer ambae aliamua kujimaliza na kujiteketezaaNitajie basi na wewe khaaaa..!! 😹😹😹
Nataka awe kungwi wangu na mimi nimteke kibaka mmoja humu..!!
hahaha! una sali wapi na nije okokaNimeokoka
😹😹😹 Ikitokea nitacheka sana..!!😅😅 Ukikaaa vibaya unarudiana na usie mtakaaa
😁😁 makoloni ya nje ndio haya haya ya humu, sema humu watu wakiingia wana chachukaaa kisa hawaonekani😹😹😹 Ikitokea nitacheka sana..!!
Sema sina koloni humu..
Engineer analeta wivu hata barua yake sijajibu 😹😹😹😅😅😅 ulitakiwa kumteka Engineer ambae aliamua kujimaliza na kujiteketezaa
😁😁😁 ungemtunzia madhaifuu tuu, mgezaa na vitoto vinajua mahesabuu hatarii ..Engineer analeta wivu hata barua yake sijajibu 😹😹😹
Koloni langu la nje hata lifanyaje haliwezi kunijua humu.. 😹😹😁😁 makoloni ya nje ndio haya haya ya humu, sema humu watu wakiingia wana chachukaaa kisa hawaonekani
😁😁 kuna siku unashika simu yake, malaaa paaap linaomba lije PM yakee.. au ndio unakuta ndio anaetumia ID ya mzabazab mwanawaneeeKoloni langu la nje hata lifanyaje haliwezi kunijua humu.. 😹😹
Kuzaa tena? 😹😹😁😁😁 ungemtunzia madhaifuu tuu, mgezaa na vitoto vinajua mahesabuu hatarii ..
😁😁 kuzaa na mwana Jf ndio fantasy yangu kubwa imebakii sijui nani atajichanganyaaaaa 🤣🤣🤣.. mngezaa tu sasa hii katoto kangekuwa katambaaaKuzaa tena? 😹😹
Yule mkaka mkorofi anaonekana, halafu muhaya na mkinga lazima tungeshindwana..!!
😹😹😹 Mzabmzab akiwa ndio koloni langu mbona naweza kulia kwa mambo yake ya humu..!!😁😁 kuna siku unashika simu yake, malaaa paaap linaomba lije PM yakee.. au ndio unakuta ndio anaetumia ID ya mzabazab mwanawaneee
Uzae na mwana JF 😹😹😁😁 kuzaa na mwana Jf ndio fantasy yangu kubwa imebakii sijui nani atajichanganyaaaaa 🤣🤣🤣.. mngezaa tu sasa hii katoto kangekuwa katambaaa
😁 ndio atakubembeleza mwanawaneeeee😹😹😹 Mzabmzab akiwa ndio koloni langu mbona naweza kulia kwa mambo yake ya humu..!!
Aliwahi kushika dogo mmoja simu yangu akakuta niliingia JF na siku log off akaniuliza tu kuhusu JF nikapotezea..!! Sema kadogo hakaelewi kitu japo ni mkali wa IT 😹
Kuna waziri mmoja humu ana id ya kipuuzi kabisa na tuliwahi kutukanana..!! 😹😹😁 ndio atakubembeleza mwanawaneeeee
wengine ID zetu za JF kama bangeee, yani ikatokea mtu akajua id flanii ni ya nani unaweza tamani ardhi ipasuke na usirudi tenaaa..
😁 hii fantasy yangu niaipambania sanaaa kitoto nikiite hata jila member mwenye matata yakee humuu... iwe ukumbushoUzae na mwana JF 😹😹
Dah! Hiyo fantasy yako kiboko..!!
Mi natamani kumuona member mmoja live ila naogopa..!!