Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kinukishe basi 😁😁
Watu wasikae kizembe zembe humuu kama tupo msibani

Hapa nichukue zangu korosho na kahwa nikae nikitazama mtanange watu wakitoana kamasi
Huu ubuyu wauanzishe wenyewe nishushe pdf la voice 😹😹😹

Ubuyu unaniwasha huu, jamani waungwana si mje myamwage wambea tulale unono..!! 😹😹
 
Huu ubuyu wauanzishe wenyewe nishushe pdf la voice 😹😹😹

Ubuyu unaniwasha huu, jamani waungwana si mje myamwage wambea tulale unono..!! 😹😹
😁😁😁 Watu watashika matumbo ya uzazi

au jf huwa inakuwa ndogo kama kiberiti ..

tuwashe moto watoke wenyewe 😅😅
 
Mashallah!! 😍
Kijana muhanshamu umepoa lips laini za kufyonza..!! 😋

Bongo Ina wanaume bana..!!
Weka full basi tuone uumbaji 😜

Wee Nomadiq em njoo unionyeshe komwe lako..!! 😹😹
😁😁😁
Lips dendaaa

Kuna mahala nilipita nikiwa nimevaa hivyo, na ninahisi wale watu wapo Jf wakiona full wanaweza unga dots nikafanya watu washike kichwa na kulia 😂😂😂
 
1000001014.jpg


Ama nitume picha Lamomy aone nilivyo handsome
 
Back
Top Bottom