Eunice selin
Senior Member
- Jun 28, 2026
- 108
- 263
.
yooooh yu rrr so beautiful naomba nikupe mdogo wangu Warld awe rafiki ako wa humu JF plzzzzView attachment 3619299@win-one Mimi ni huyu 🙈
mbona kutishana usiku usiku jamni khaaa😩
Jamaniii mbn Kama mzukaaa yoooh
kawaida wapi mtoto una shap kama la kuchonga weeeh tulia upewe maua yako😍Amnaa Jamniii n kawaidaa tu 🙈
tutalala kesho😅😅Looh jamani! Hivi leo hakuna kulala😎
Mmmh🙈kawaida wapi mtoto una shap kama la kuchonga weeeh tulia upewe maua yako😍
Kazi mnayo!😅tutalala kesho😅😅
Nipo mwaya, mambo mengi tu na vi-stress vya hapa na pale.Girl Poet gal upo? mbona umeadimika hivyo
stress za nini tena mumy?Nipo mwaya, mambo mengi tu na vi-stress vya hapa na pale.
Tupia kapicha basi nifurahi kidogo 🙂
Uwe unaniita kwa sauti basi. Mi labda nitupie machozi 😵😢stress za nini tena mumy?
jana nimetupia nikauita ila haujatokea kwahiyo ni zam yako kutupia
Mmmhkawaida wapi mtoto una shap kama la kuchonga weeeh tulia upewe maua yako😍
ulipitwa na pich ya newcomer😅 nikisu kweli kweliMmmh
Anakuzidi wewe Mrembo wanguulipitwa na pich ya newcomer😅 nikisu kweli kweli
ndio ananizidi😔 tena mbali mnoAnakuzidi wewe Mrembo wangu