Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah kweli itabidi siku moja nitembee maana Morogoro naishiaga Msamvu tu pale,, japo pia nimeshatembelea mbuga ya Mikumi, bwawa la Kidatu, mashamba ya Kilombero na kupanda milima ya Udzungwa.. kwa mjini nina mpango wa kuanzia Kihonda nina rafiki yangu anaishi kule
Kwa pale mjini maeneo ya Kilakala au Sua au Forest ndio kuzuri kuishi kama mimi ukiniambia nichague mahali pa kuishi au huku kwa mafather kama unaingia ingia Moro ukitokea Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kihonda sasa hivi ni kama imekuwa uswazi...niliishi hapo kidogo mwaka 93..wakati huo paliitwa nje ya mji...(ni kama hapo Mbeya uwe waishi Inyala au Songwe hivi)

Mjini wakati huo ilikuwa kule Boma
 
Moro nimeishi km mwaka hivi pale Shamba Street ,ofisi Madaraka road

MTC | 101|
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…