Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,585
- 83,128
Nimekuotea tu leo sina mchezo!😂Nilijua umelala 🤣 kumbe sikio lipo on na notification
Nimekuotea tu leo sina mchezo!😂Nilijua umelala 🤣 kumbe sikio lipo on na notification
Suprise kidogo...ingawa sijawahi kukuotea, nitakuwa Security guard mahiri nikuone hata komwe 🤣Hongera sana! Umenisaprazi na mie!
Kama kanunua kuwa mpole tu muachie ajivinjari usiweke mkono utamuudhi😂Wanangu wote wamenyooka , hapa bar kuna demu kanunua pombe ila anataka tucheze , niweka kamkono kispoti tu anakata uno pa paka mwizi 😛
Notification ndo naiwazia hapa 🤣Nimekuotea tu leo sina mchezo!😂
Komwe ndio sahau utaambulia vidole😂Suprise kidogo...ingawa sijawahi kukuotea, nitakuwa Security guard mahiri nikuone hata komwe 🤣
Nimeona ipo siku isiyokuwa na jina my dear ndo surprise itakuwa nzuri, basi ulivyo nimention nikajua mzigo ushatumwa 🤣🤣Umeona huo mfano ERTUGRUL BEY? Haya changamka tupumzike sasa!😅
Unaiwaza tena!😁Notification ndo naiwazia hapa 🤣
Bwashee kumbe umoo 😄Wanangu wote wamenyooka , hapa bar kuna demu kanunua pombe ila anataka tucheze , niweka kamkono kispoti tu anakata uno pa paka mwizi 😛
Toto lina tako moja laini nimekua mpole manyang'odeKama kanunua kuwa mpole tu muachie ajivinjari usiweke mkono utamuudhi😂
Bwashee mimi sio fala😛Bwashee kumbe umoo 😄
Ohoo usingeuwahi! Sasa mbona unakuja na maneno tu? Siku isiyokuwa na jina si ndio nitapitwa sasa🤭Nimeona ipo siku isiyokuwa na jina my dear ndo surprise itakuwa nzuri, basi ulivyo nimention nikajua mzigo ushatumwa 🤣🤣
Chochote ila kiwe part and parcel ya komwe 🤣Komwe ndio sahau utaambulia vidole😂
🤣🤣🤣Bwashee mimi sio fala😛
Ntakutag wala usiwazeOhoo usingeuwahi! Sasa mbona unakuja na maneno tu? Siku isiyokuwa na jina si ndio nitapitwa sasa🤭
Ni ya namna gani kwamba mtu kapost selfika...au notification ni kukodolea uzi hata pee huendi 🤣🤣Unaiwaza tena!😁
Bwashee nakula bia na leo wafanya kazi wangu wote wamekula bia 😅🤣🤣🤣
Nimecheka ile kimangi mangi 🤣🤣
Fanya yako ba mnyongode!Toto lina tako moja laini nimekua mpole manyang'ode
Mimi tena 😜Fanya yako ba mnyongode!
View attachment 3607937
Hmm hii ngumu hii🤣⚔️🤸🏽♀️Chochote ila kiwe part and parcel ya komwe 🤣
Mwendo wa "be careful tomorrow is monday" huku unabeua 🤣Bwashee nakula bia na leo wafanya kazi wangu wote wamekula bia 😅