ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,882
- 44,618
Mwanaume mfupi kama kikombe cha kahawa aiseee😹😹😹 Macho juu yule atafanya niwe napigana na watu..!!
Niliwahi kuvunja vioo vya gari vya shem wako nikaona haitoshi nikachoma nguo zake kisha nikamuita aje azifate kwangu sizitaki.. alipokuja anaulizia nikamuonyesha majivu..!!
Kwanza mwanaume mwenyewe mfupi km kikombe cha kahawa ndo anisumbue mfyuuu..!! 😹😹😹
Vipi kiunoni ni mfupi pia 😁😁😁