Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,659
- 27,562
Ukirusha nishtue basi kwa roho safi tu!!Kaa chonjo kijana kuna mafoto humu ya kumwaga
Ukirusha nishtue basi kwa roho safi tu!!Kaa chonjo kijana kuna mafoto humu ya kumwaga
A photo of u!Hapana najua sio mbunye,najua ni mambo mengine, we men what can we display?
Kaka ako anapenda bed 😅😅😹😹😹 Uwe wifi yangu
😹😹😹 Uwe wifi yangu
Sawa jombaUkirusha nishtue basi kwa roho safi tu!!
Mi nimekuwahi kwanza lau ungewahi kabla yangu ningeanza,lkn nadhani huwa mnadisplay bodiesA photo of u!
Sasa bodies si ndio pics zenyewe? Weka vituz rafiki!Mi nimekuwahi kwanza lau ungewahi kabla yangu ningeanza,lkn nadhani huwa mnadisplay bodies
Hahhaha umeona sio😛We pita tu ba mnyang’ode Watajua wenyewe!
Safi sana bwashee
Leo naona umejilipua rafiki😁
Nakusubiri upite nilale ujue🙄Hahhaha umeona sio😛
Sisi ni waleviiii tunapenda na pesaaa 🎵😜Bwashee hujalala 😄
Si mbaya kwa mwaka mara moja 🤣🤣Leo naona umejilipua rafiki😁
Itakuwa notification yako inasema "wametuma picha selfika wahi"Sisi ni waleviiii tunapenda na pesaaa😜
Hongera sana! Umenisaprazi na mie!Si mbaya kwa mwaka mara moja 🤣🤣
Nilijua umelala 🤣 kumbe sikio lipo on na notificationHongera sana! Umenisaprazi na mie!
Wanangu wote wamenyooka , hapa bar kuna demu kanunua pombe ila anataka tucheze , niweka kamkono kispoti tu anakata uno pa paka mwizi 😛Hongera sana! Umenisaprazi na mie!
Nimekuotea tu leo sina mchezo!😂Nilijua umelala 🤣 kumbe sikio lipo on na notification