Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
Jmn sijapenda mambo gani haya Ger kufunga goli 6..roho inaniumq😫
Imekuona mama kifuaa🥰😹😹😹 Yule chakaramu mwenzangu hatuwezani..!!
😹😹😹Makubwa
Kumbe🤣🤣
Ondoa shaka beibMtasaidia kunujuq pampas🤣
Si ndio mzuri mkiamua mna kiwasha😹😹😹 Yule chakaramu mwenzangu hatuwezani..!!
Wewe watie moto wajuba wa JF wajue kuna mambo kumbe hamna lolote 😹😹😹Imekuona mama kifuaa🥰
Huko nyuma sasa ♥️
Wameokota ka team kadogo wanajipigiaJmn sijapenda mambo gani haya Ger kufunga goli 6..roho inaniumq😫
Kweli yaliyomo yamoo uduguWewe watie moto wajuba wa JF wajue kuna mambo kumbe hamna lolote 😹😹😹
Lamo tajiri selfika😹😹😹 Utapofuka macho
SijapendaWameokota ka team kadogo wanajipigia
Mpila hauna ladha tena goli 7 mpka sasaSijapenda
Kwann wamewapangiq na tema ndogo hivi
Chuma ya 7 tayariJmn sijapenda mambo gani haya Ger kufunga goli 6..roho inaniumq😫
😹😹😹 Macho juu yule atafanya niwe napigana na watu..!!Si ndio mzuri mkiamua mna kiwasha
Ngoja ticha wa kiswahili afike akwambie sio mpila ni mpira 😹😹Mpila hauna ladha tena goli 7 mpka sasa
Umesikia mpodido sasa unataka kuona 😹Lamo tajiri selfika
We pita tu ba mnyang’ode Watajua wenyewe!Na selfika picha ya milioni tano , kwa nilivyovaa tu, wenye chuki wajitokeze mapema kabla Dirisha la usajili halijafungwa Seran View attachment 3607875
Nione 😛Umesikia mpodido sasa unataka kuona 😹
😹😹😹 Hata haina maajabu..!!Kwahiyo ndo umepita shwaaaa
Sawa bwana