Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,428
Nimekuelewa vizuri sana, mimi nimekuuliza wewe kama swali?Hujanielewa, nimesema na mimi nivae tumbo bandia kumsapoti wog km kwenye bebi shawa ya wema. Si uliona wapambe walivaa mimba bandia.
Nimekuelewa vizuri sana, mimi nimekuuliza wewe kama swali?Hujanielewa, nimesema na mimi nivae tumbo bandia kumsapoti wog km kwenye bebi shawa ya wema. Si uliona wapambe walivaa mimba bandia.
Wema hajavaa tumbo bandia ni kweli alikuwa mjamzito na kashajifungua kidume..!!Nimekuelewa vizuri sana, mimi nimekuuliza wewe kama swali?
Hongera kwa kweli MUNGU amempa kicheko 😍😊Weka hajavaa tumbo bandia ni kweli alikuwa mjamzito na kashajifungua kidume..!!
Wanaume wa dar sasa watapumzishwa 😹
Waja hawaamini kama wema kazaa kwani sio mwanamke? Wivu tu unawasumbua.Hongera kwa kweli MUNGU amempa kicheko 😍😊
Ila waja wana mambo kila mtu na story yake basi tafrani 😅😅😅
Jamani 😂😂😂😂, kuna meme nimeona inawachamba wanaume wa Dar
😅😅😅😅🙌ila Lamo, nimekunyooshea mikono binti una maneno sana😂😂Waja hawaamini kama wema kazaa kwani sio mwanamke? Wivu tu unawasumbua.
Wema hakupata mwanaume sahihi wa kumzalia. Ila kizazi anacho na alishawahi kutoa mimba ya Kanumba na Idrisa. Ss hivi angekuwa na mtoto yupo Advance au chuo sema hakuwa tayari kuitwa mama kwa muda ule.
Wanaume wa dar ndio wanaume bora Tanzania kwa kupiga mimba wanawake eti makaveli10 nasema uongo? 😹😹😹
Walimsema mke wa pdidy (Mond) lakini kaunganisha East Africa ana watoto kote.
😁😁😁We mjanja mjanja mno sikuamini 😹
Niliwahi sema, huyo wema hajapata wa kumkojolea vizuri, mtu wa kukojoa, mzigo unatoka kama mate ya cobra..Waja hawaamini kama wema kazaa kwani sio mwanamke? Wivu tu unawasumbua.
Wema hakupata mwanaume sahihi wa kumzalia. Ila kizazi anacho na alishawahi kutoa mimba ya Kanumba na Idrisa. Ss hivi angekuwa na mtoto yupo Advance au chuo sema hakuwa tayari kuitwa mama kwa muda ule.
Wanaume wa dar ndio wanaume bora Tanzania kwa kupiga mimba wanawake eti makaveli10 nasema uongo? 😹😹😹
Walimsema mke wa pdidy (Mond) lakini kaunganisha East Africa ana watoto kote.
UNasemaje we mtoto wa geti..Maka hansamu boy wa selfika 😻
I already told yah it will be a supriseKwahiyo tuliopo ig ni mashangingi 😹😹
Mje tushangingiane basi 🤣
Em wajomba selfikeni basi arrgggggh mbona tunawabembeleza hivyo lakini?
😅Niliwahi sema, huyo wema hajapata mtu wa kukojoa, mzigo unatoka kama mate ya cobra..
Wanaobisha, waje tuwape mimba wao😂🤣
UlipitwaaMorning sissss ndo naingia saiii nmepitwa
Nipe nikufuate Instagram, nidindishe na nikuchumu wangu honey. Mimi si ni wako tayari? 😅We nyoko acha kutuponda 😹
Hao wa ig ndo sisi wa huku JF
Nikupe account yangu ukadindishe 😹😹
🤣🤣🤣Kama Wema vile 😹😹
Mi navaa kitumbo bandia siku ya bebi shawa 🤣
😹😹😹 Waje wapigwe vibend wanaume wa dar igweeeeeeeeeeeeeeNiliwahi sema, huyo wema hajapata wa kumkojolea vizuri, mtu wa kukojoa, mzigo unatoka kama mate ya cobra..
Wanaobisha, waje tuwape mimba wao😂🤣
We mi sio mtoto wa geti 😹😹😹UNasemaje we mtoto wa geti..
Hiyo surprise itanipita weka leo bhana..!.!I already told yah it will be a suprise
Lifunguulie wewe baas
Eeh kumekucha 🤣🤣🤣🤣🙌Hujanielewa, nimesema na mimi nivae tumbo bandia kumsapoti wog km kwenye bebi shawa ya wema. Si uliona wapambe walivaa mimba bandia.