Acha uoga dr 😹Humu tuselfike tu, tukiwa na shida tutatafutana
Hauna kaforo karibu hapo unibles nisafishepo macho???😹😹😹 Mi nasema ukweli bila konakona Mungu aliumba mama akazaa..!!
Umenyooka km mchele wa basmati 😻
Kesho nitapita nakeeeeeeeedHauna kaforo karibu hapo unibles nisafishepo macho???
Hutaki kuniamin?Sema kweli? 😹
We silent killer bhana yupo..!!
😂🤣🤣😹😹😹 Wewe muhansamu bhana..!!
Halafu una kamwili kazuri hata kitambi huna..!! 😻😻
Humu utachoka na Mishangazi. Ukitaka beautiful ladies karibu IG😅Kwendraa I don't wanna be a prey to mishangazi.
Ig ndo Kuna mashangingi sasa kule.Humu utachoka na Mishangazi. Ukitaka beautiful ladies karibu IG😅
Yaani wewe umechangamka hivi kumbe😅 Nilijua we mpole...mshamba_hachekwi njo upite chap nusu ya ile pic niiunganishie
Mimi ni mpole mno hapa nachangamsha genge pita basi tupo wenyewe tu usiite watu 😅Yaani wewe umechangamka hivi kumbe😅 Nilijua we mpole...
Utu uzima dawa Mkuu poleeVitu vingi kichwani usingizi siupati kabisa.
Haya, na wewe fanya jambo huku ukisubiri.mshamba_hachekwi nakusubiri
🤔😁MC hakikisha shem anatakiwa kila muda maana katuheshimisha kina maaunt wa kijacho..!! 😹😹
Naanza kufunga sare ya bebi shawa mapema..!! Chagueni rangi
Na sasa wanakuita tajiri/boss/mtaalam/mtu wa kazi.Zamani nilikuwa naitwa mbavu nene
Duh nilipitwa jmn
Wananiita babu jinga la kuchemsha au babu jinga la dakika za jioni😀😀Na sasa wanakuita tajiri/boss/mtaalam/mtu wa kazi.